Karibu kwetu tukuyu!

Hivi hayo maporomoko hayatoshelezi kuzalisha umeme wa angalau kwa mji wa Tukuyu tu? Mmhhh na hizo ndizi zinatamanisha.
 
hii imenikumbusha kijijini kwetu hapa kanda ya ziwa!

Unajua kuna vijiji ambavyo ukienda hapa BK unashindwa kuamini uzuri wa uumbaji, naona na Tukuyu inareflect kitu kile kile hasa hizi picha mbili, du!

Jamani pia Moshi nako mmmm sio mchezo:Angalia hapa
 
hm sweet hm,kwetu kuzuri bana,aisee hilo londo lenye mzigo wa ndizi hiyo njia inapita ni ya kwenda kijijini hm kabisa iponjola kuelekea magereza kiwira,i miss that,soon on ma way there bila kusahau kitimoto ya kuchoma na ndizi hapo k.k.k. Au kyimo kijiji kitulifu
 
na nini tena nikuletee.....?


Mi n'letee magimbi yale yenye rangi kama maandishi yako hapo juu, huwa nayapenda sana. Lakini pia ukiweza pita pale Katumba, Wakulima Tea Factory, utuletee majani ya chai madam.
Bon Voyage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…