Ni chama kilichoundwa na wanafiki watupu,sijui kitakuwaje HABANA PENDA HIYO CHAMA KABISA NI CHAMA YA HOVYO KABISA! :bhange:
wanafiki wako chadema mkuu
Ni chama kilichoundwa na wanafiki watupu,sijui kitakuwaje HABANA PENDA HIYO CHAMA KABISA NI CHAMA YA HOVYO KABISA! :bhange:
My take is that ACT is dead on arrival!
Hao ACT ni panya waharibifu...Tunawadhibiti tuu....Wala usiogope....
Hicho kikao cha kihuni cha sendoff kinaanza saa ngapi..???.....Nina miaka sijawahi hudhuria vikao vya sendoff..
Ni haki yenu kufanya mkutano lkn mwiten zitto awasadie la sivyo mtapata watu 3
Hizi ni dalili za kuchanganyikiwa.mjini tanzania nzima.
Chama cha kwenye brifecase kiwe mwiba kwa Chadema?ACT imegeuka mwiba kwa Chadema.
ni vigumu kuitenganisha bavicha a. k. a misukule na matusi. they are synonymous.Hicho kikao cha kihuni cha sendoff kinaanza saa ngapi..???.....Nina miaka sijawahi hudhuria vikao vya sendoff..
naizungumzia mwanza hiyo hiyp unayoijua mi niko hapa igoma wana mwanza wanahasira sana na chama cha kibaguzi chadema kwa kuipendelea kanda ya kaskazini tu. kanda ya kaskazini inapata ruzuku kubwa huku kanda nyingine wanaambiwa wajitolee chama hakina pesa
Aibu cdm unatunisha misuli kwa kichanga act
Wanaweweseka, wanakosa usingizi, wanatukana sana. Kisa kichanga ACT ambacho hakijajua hata kutambaa!
ama kweli; kwani mwanza bado wanahitaji chama kipya cha siasa!
Ukiona anakushinda hoja endesha dhihaka, CCM imeshindwa hoja inaleta utoto, ACT ni nini??? wameungana na CUF bila mafanikio itakuwa huyu ZZK na ACT yake??? ukishikwa kwenye mbinu zako ujue umezidiwa akili na upande hasmu, vinginevyo utashikwa vipi???? ZZK, CCM na ACT mmezidiwa akili na CDM, hata mkijaribu tena baadae namba haipatikani, jaribu ni CUF na kwingine, si mnaona mlivyoishika CUF Zanzibar hao ndo siazi yenu kimawazo sio mkono wa umma