Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 897
- 559
Niwasalimie ndugu zangu wa Taifa moja la Tanzania,
JF ni mtandao ambao wa watanzania wote na wasio wanaingia ni vizuri sana una maadili na unaheshimu sheria za mawasiliano. Pia mtandao huu unatembelewa na watu wa aina tofauti, nikiamini ni wasomi wa sekondari na vyuo huku vijana wakiwa ni mfano na wenye kuonyesha njia kwa wanasiasa walioshindwa kusimamia uhuru wa kiuchumi na kuwachia wageni wawe ndo wamiliki wa rasilimali na huku watawala wakilazimishwa kila kukicha ili hao wageni waendelee kutajirika kama walivyo tajirika tangu karne ya 7 mpaka sasa bado mwendo mdundo.
Vijana, kinachonishangaza mimi ni matusi, kejeri, vijemebe, kukosa adabu ya kuchangia kile kilicholetwa na binadamu kama wewe na kushindwa kuheshimu hisia za mtu na kumtukana cha ajabu zaidi wanatukana na viongozi wa nchi hii si mbaya lakini jaribu kukosoa kwa hoja hao ndo vijana Taifa linawategemea kuonyesha njia kijana hekima, busara na akili njema ni bora kuliko kuwatukana watu.
Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo.