Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

Karibu kwa mkutanao wa ACT Mwanza leo

Kwa habari nilizo zipata sasa ktk mwanza tayari watu wamehanza kumiminika kwenye eneo la mikutano asanteni sana viva act viva mwanza
 
mjini tanzania nzima. habari za gerezani muulize lema na mchungaji msigwa huko ndio nyumbani kwao
Umesahau na Shekhe Ponda huu mwez wa saba Segerea..
Mjini kwenu na nchi ya kusadikika hapo mtaa wa Gerezan K/koo..
 
niwasalimie ndugu zangu wa taifa moja la tanzania,

jf ni mtandao ambao wa watanzania wote na wasio wanaingia ni vizuri sana una maadili na unaheshimu sheria za mawasiliano. Pia mtandao huu unatembelewa na watu wa aina tofauti, nikiamini ni wasomi wa sekondari na vyuo huku vijana wakiwa ni mfano na wenye kuonyesha njia kwa wanasiasa walioshindwa kusimamia uhuru wa kiuchumi na kuwachia wageni wawe ndo wamiliki wa rasilimali na huku watawala wakilazimishwa kila kukicha ili hao wageni waendelee kutajirika kama walivyo tajirika tangu karne ya 7 mpaka sasa bado mwendo mdundo.

Vijana, kinachonishangaza mimi ni matusi, kejeri, vijemebe, kukosa adabu ya kuchangia kile kilicholetwa na binadamu kama wewe na kushindwa kuheshimu hisia za mtu na kumtukana cha ajabu zaidi wanatukana na viongozi wa nchi hii si mbaya lakini jaribu kukosoa kwa hoja hao ndo vijana taifa linawategemea kuonyesha njia kijana hekima, busara na akili njema ni bora kuliko kuwatukana watu.

Karibu kwa mkutanao wa act mwanza leo.
bw mwigamba mchezo wako wa kuwa na id nyingi hujaacha? Kama bado je hii id mwenyekiti wako zitto anaijua?kweli sikio la kufa
 
isiifananishe ACT na chadema iliyoleta ukristo na uchaga . chadema ni wabaguzi sana.ACT ni chama cha kitaifa
Kama unadhani hili ni jukwaa la uchoro nenda kapumzike kwenu. Huna uwezo wa kujieleza, chadema walileta ukristu wapi? walileta uchaga wapi? kwenye siasa? Hivi mwenyekiti Mbatia mchaga wa NCCR Mageuzi aliletwa na Chadema, Mrema mchaga Mwenyekiti wa TLP aliletwa na Chadema, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Demokrasia Makini, Marehemu Prof Shayo aliletwa na Chadema? Mimi ni Msukuma naheshimu sana makabila na ukweli. Tuwape wenzetu sifa yao ya kujitambua. Kaangalie ni mkoa upi unaongoza kwa kucheza ngoma za kuwasifu wakubwa, kisha wanapewa ugali!! Kama kuanzishwa kwa ACT eti kuiua CHADEMA Only the fools have and will ever accepted your nice proposition.
 
vijana wote wa mwanza wanajua mkombozi wao ni.chama makini.cha ACT hiki ndio chama kitakachowapa ajira vijana wote wa tanzania

Uongo wa kwanza kabla jogoo hajawika,vijana wote kupata ajira unaropoka?ama umekurupuka?nadhani hazikutoshi jitathimini kisha ujitambue.
 
Kwa habari nilizo zipata sasa ktk mwanza tayari watu wamehanza kumiminika kwenye eneo la mikutano asanteni sana viva act viva mwanza
Tulikuwa na NCCR Mageuzi, tulirukaruka, tukambeba Mrema. Tatizo letu hatujitambue nani adui yetu? Yaani mtu anajisifu kuanzisha chama eti kukiondoa CHADEMA kana kwamba ni chama kinachoongoza nchi? Ni mwenye ukame wa akili ndie anayeweza kujisifu kupambana na chama fulani, badala za issues zinazotusumbua ndugu zetu watzd, ajira, umaskini, ulimbukeni, kutokujitambua, kupiga makelele ovyo kama washikaji zangu dodoma, kupiga kelele kwa makonda, maandamano ya bodaboda?
 
Jamani wadau mlio tayari mmewasili hapo viwanja bus mbugani embu tujuzeni kinachoendelea hapo.maana nasi tunajongea hapo
 
Hakuna kitu hapa Wasaliti hawa nani atawasikiliza? Wanajiandaa kugawa hela ili watu wahudhurie Mkutanoni
 
Kwa habari nilizo zipata
sasa ktk mwanza tayari watu wamehanza kumiminika kwenye eneo la mikutano
asanteni sana viva act viva mwanza

leo nimebahatika kuwepo hapa mwanza na mida hii naelekea mbugani nataka kusikia wasaliti wanataka kutuambia nini
 
watu ni wengi.kwelikweli hapa. haijawahi kutokea hapa mwanza. huu ni mkutano wa kihistoria .kweli wana mwanza wanahitaji ukombozi.
 
watu ni wengi.kwelikweli hapa. haijawahi kutokea hapa mwanza. huu ni mkutano wa kihistoria .kweli wana mwanza wanahitaji ukombozi.

weka picha! ni kichaa tu anayeweza kupoteza muda wake kuwasikiliza hao wasaliti!
 
watu ni
wengi.kwelikweli hapa. haijawahi kutokea hapa mwanza. huu ni mkutano wa
kihistoria .kweli wana mwanza wanahitaji ukombozi.

sikuzote nilikuwa nakusoma kwa mbali leo nimegundua una kipaji cha uongo, nipo hapa mbugani wapo watu wachache sana kuuzunguka uwanja na asilimia kubwa wanaponda sana hiki chama, wanaamini ni pandikizi la ccm
 
Back
Top Bottom