karibu kijijini kwetu kuchagua wachumba

Vitu vya ukweli, mchina hajachakachua labda wasi wasi wangu kwenye kujiswafi tu. Huko kijijini kwenu maji sio ya tabu mkuu?
Na hilo jua linavyowaka hapo lazima ukute ka-kuku kananuka shombo mpaka hamu inatoweka, beberu kasingiziwa.
 
Back
Top Bottom