Mie hapo nimekumbuka JKT gudulia la kupikia ilikuwa robo tatu ya pipa watu sita mnapika ugali wa kombania ya watu 400!!
Bora Kambi yenu mlikuwa wasafi, sisi 834KJ hayo mapipa yalikuwa hayaoshi liwe la maharagwe au ugali, likibalia ukoko na weusi twende kazini na hakuna kuugua (JKT magonjwa madogo madogo km Maleria kuhara kipindpindu ni sumu kukanyaga humo Kambini) MUNGU alitulinda sana ndio maana umenikumbusha mbaliMie hapo nimekumbuka JKT gudulia la kupikia ilikuwa robo tatu ya pipa watu sita mnapika ugali wa kombania ya watu 400!!