Hepibethidei Mjeda
Na huu mfungo mmmh!!!
lahaula shostiiii wewe tu ndo hujui nliachwa mie kisa sikuja kwenye ile bday yako akachukuliwa bibie huyo kisa alikuja nikatemwa pwaaaaaaaaaaaaaaaa.kule cc ndio khabari ya jamvini lol!!!ila raha tumekuwa bachela mimi na charminglady heheheheheehhheeeee shosti mbona sina khabari............ndo ilikuwa lini??? nani mume wenu?!?!? lahaula! usikute nimeporwa!!! mtalaka ni nani?
Mamndenyi alikuagiza mapanki. Umeyapata?Mbona hujawaambia kwamba kutakuwa na mchemsho wa SATO na SANGARA kutoak Mwanza...
Nitakuwa Dar wiki ijayo na vitu vikali, kuna pombe moja maarufu huku Mwanza kanidokeza charminglady na Elizabeth Dominic nitakuja nayo......