Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

Paloma.. hizo bia na whisky wanywe wao.. Mie ombi langu hizo lips tu.. Nina IST imeshaingia bandarini.. Nasubiri nipewe jina nimuandikishe huyo mwenye hizo lips kwenye kadi ya gari hiyo.. Pia itaambatana na coupon ya mafuta kwa mwaka mzima.. Ajitokeze tafadhali mwenye hizo lips..
:nono::nono::nono::nono::nono::nono: hili siuliagiza la wife?? subiri hapaohapo nimpigie
 
:nono::nono::nono::nono::nono::nono: hili siuliagiza la wife?? subiri hapaohapo nimpigie

Weee Nivea.. Acha kutaka kuniharibia bana.. Wife anajua kule nilikoagiza agent aliingia mitini na cash.. Paloma tafadhali.. Nivea anataka kuharibu mambo huku..
 
Last edited by a moderator:
unless kama kijiwe kitakuwa kingine ila kwa pale hata siku moja hamnioni mnataka tuvuliwe dhahabu zetu uswaziiii
na hizi mvua mweeeh! ................mtakoga matope hadi mkome.............

akhu babu abadili kijiwe bora aseme twende brajeck kweli ningekuja na ningetafuta baba klein mdogo wa kuja nae lolz!
 
hehehheehehe shostito Paloma utamkoma Madame B akija hapa bora mimi sijasema kitu lol alivyotumia kampeni kumpata mwanasiasa wake heheheeheheh utakula nyanyachungu mujini hapa
 
Last edited by a moderator:
hahah Paloma rekebisha kauli yako upesi

'Madame B ataambatana na shemeji yetu Ben Saanane' na siyo shemeji zetu so and so.....


hahahhaaa ntairekebisha "live from leo tupo hapa pub"
when all are around. and this time ntahakikisha Baba V anakuja ili atoe resolution
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa JF CC, mwaonaje hali!?!?!?!:peace:
Kwa mara nyingine tena , katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni…..famile ya CC inapenda kuwafahamisha kuwa bro wetu, rafiki, baba, bamdogo, bamkubwa wetu, babu yetu, mpenzi wetu MJEDA wa LEO TUPO HAPA Pub anatarajia kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa mnamo tarehe 22 March 2013

.:clock: Hakika amekula chumvi si haba!!!! Hivyo basi kama kaiwaida yetu majira ya kuanzia saa kumi na mbili jioni tukutane ndani ya leo tupo hapa kwa ajili ya surprise party kwa mpendwa wetu MJEDA kabla hajaenda DARFUR kulinda Amani kwa mtutu!!! (makubwaaa!!!!!)
Kma kawaida mzee Mtambuzi (mhh pole yako ya kushikwa ugoni na utakuja kueleza vizuri ilikuwaje maana…..!?!?!) ameshaandaa maulabu na viburudisho vya kumwaga!!! govinder kumar
Contesa
Image
heheheheeeee ……………. …… na Dompo!!!

Wale matajiri wa kihaya kuna hizi kitu zenyuuu
2012-08-22-Heineken_Cube1_0.jpeg
na hizi
Safari.jpg

Mjeda mwenyewe amekuja nah ii kitu spesheli MziziMkavu atupe analysis ya alkool content ya hii makitu Real Scorpion vodka………
Wageni waalikwa , naamini KakaKiiza Mentor Kipaji Halisi Teamo watakuwepo! mtanange wa wale walimbwende na vijivazi…hakika muumba amefanya kazi yake jamani…watoto mashaallaaaaah! Watakuwepo!!!
@Kaizer (uje banaa ntakulipia Flightlink kwani dola ngapi?!?!) Asprin (please niletee Msangi wangu) Vin Diesel na wakezo Mamndenyi KOKUTONA sijui na nani tena..... sosoliso saudari Ruttashobolwa Jiwe Linaloishi Fidel80 Boflo Bishanga –tajiri la roho na mwili (hhahahahaa - bia yako unainywea kwenye square tin) Bujibuji Chachu Ombara. Madame B atakuwepo this time ataambatana na shemeji zetu Ben Saanane, Chili Chimbuvu, kiplagati26 na CHAI CHUNGU usmuache NTIBA. watu8 na famile yako bila kumsahau Baba V!Lol! Superman…uje utoe dose tafadhali!!!
@amu na kipenzy chako Nivea @sweady, king’asti – yani usipokuja kwa bamkubwaako ntakusutaje! cacico gfsonwin dompo inawahusu nyie!!! FirstLady mwaJ, @ zion daughter, snowhite Swts Mjeda ataka kuwa –pempered na maladies wa ukwe’heeee….huenda akaacha posho yake yooote aliyolipwa kujikimu huko Darfur (shauri zenyuuuu) lara 1 Asnam marejesho et al nimeshaweka strawberry lips…..this time ntahakikisha mtu haibebi!!! mzabzab AshaDii Judgement
na wengine woooooooooooote wenye mapenzi mema kwa JFCC NA MJEDA!!! (Heee!!! na kwangu pia nani asotaka mapenzi mema)

KARIBUNI SANAAAAAAAAAAAA TAREHE 22 MARCH PALE LEO TUPO HAPA PUB!!!!!!

( this time nina boooonge ya surprise kwa mkaka wa ukwe’he nitakayemnaniliu siku hiyoooo……………… stay tuned!!!)
mmxwaaahhh............

uwii hii lip imenikosha sana give me the number plz
 
Shemeji hivi kakaa ume muweka wapi?

hehehheehehe shostito Paloma utamkoma Madame B akija hapa bora mimi sijasema kitu lol alivyotumia kampeni kumpata mwanasiasa wake heheheeheheh utakula nyanyachungu mujini hapa
 
Last edited by a moderator:
afu wewe...............nna kesi na wewe! siku hiyo utaipata!!!
mimi na wewe damu damu so hiyo kesi haina madhara, hata ikiwa na madhara Paloma ni mwingi wa huruma so atanisamehe bure!. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom