Karibu katika birthday partyyyy ya MJEDA wa Leo-Tupo-Hapa Pub!!!!!!!

lahaula shostiiii wewe tu ndo hujui nliachwa mie kisa sikuja kwenye ile bday yako akachukuliwa bibie huyo kisa alikuja nikatemwa pwaaaaaaaaaaaaaaaa.kule cc ndio khabari ya jamvini lol!!!ila raha tumekuwa bachela mimi na charminglady heheheheheehh

eeenh karibu kwenye JF BACHELOR CLUB!!!
cc Donn
 
Last edited by a moderator:
Mbona hujawaambia kwamba kutakuwa na mchemsho wa SATO na SANGARA kutoak Mwanza...
Nitakuwa Dar wiki ijayo na vitu vikali, kuna pombe moja maarufu huku Mwanza kanidokeza charminglady na Elizabeth Dominic nitakuja nayo......
Mtambuzi, charminglady na Elizabeth Dominic wanamajungu watoto hawa sijapata kuona.
Walisambaza uzushi na uvumi kuwa umefumaniwa ukila uroda na bibi wa miaka 70 aliyekimbilia chumbani kwako kujinusuru na wananchi wenye hasira kali waliokuwa wakimtuhumu kuwa ni mchawi
 
Last edited by a moderator:
Paloma hizo lips sasa .. Nadhani wakaka hawatakosa lolz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nivea, kumbe mwita maranya ni kaka yako? Mi mwenzako nina hamu ya kukupa mimba, sema wee hujui tu.
Naomba unikubalie ombi langu.
Mwisho wa kutongoza
heheheheheeheheheheeheh kwa blutooth au heheheeh umenichekesha sana yaani mtu ndio ananitongoza hivo ntamwambia nenda kabadili hiyo operationg system yako.mimi ukichaa wangu ni kutema mayai tu hapo kwishaaaaa Mwita Maranya ni kakayangu haswaaaaaaaa ukintongoza nakwenda mwambia
 
Paloma hizo lips sasa .. Nadhani wakaka hawatakosa lolz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ahahahahaaaaaaaaaa..............za kawaida sana banaaaa!
vipi we wanywa nini nikuandalie....juice fresh au ya maboxi? uje banaaaaaaaa
 
Paloma.. hizo bia na whisky wanywe wao.. Mie ombi langu hizo lips tu.. Nina IST imeshaingia bandarini.. Nasubiri nipewe jina nimuandikishe huyo mwenye hizo lips kwenye kadi ya gari hiyo.. Pia itaambatana na coupon ya mafuta kwa mwaka mzima.. Ajitokeze tafadhali mwenye hizo lips..
 
subiri PM babaangu............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom