[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Kikubwaaa Kamala akifika, ashinikize [emoji2380] iwe legally, watu wanataka kuoana, wamechoka uchumba sugu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkorofi wewe,huwa unaamua kuwatibua nyongo watu hapa.Subiri tsunami ya comments zinakuja [emoji23][emoji23]Kikubwaaa Kamala akifika, ashinikize [emoji2380] iwe legally, watu wanataka kuoana, wamechoka uchumba sugu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na lazima muolewe mwaka huu.Agenda ya kwanza ushoga baada hapo inamwagwa misaada isiyo na kichwa Wala miguu
Lakini akaribie kwa adabu sana hii nchi ni ya MUNGU, asije akajichanganya kuja kutulazimisha ushoga na usagaji.MUNGU wa ISAKA NA YAKOBO yupo hapa. we jichanganye uone.Muulize kilichomtokea yule nabii aliyevua viatu pale uwanja wa ndege wa JK NYEREREKuna kipindi Rais Samia alienda Marekani, halafu ikatokea kwamba hajafika Ikulu ya Marekani. Baasi humu mitandaoni akaanza kushambuliwa hasa na watu wa CHADEMA kwamba hajaonana na viongozi wakuu wa Marekani kisa Tanzania hakuna demokrasia.
I dont think kama walisema kweli ila sawa hakwenda.
Now Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Hariss anakuja Tanzania. Mbona wale wapinzani hawaongelei demokrasia?
Tusiache kusema ukweli kwamba Rais Samia Suluhu kafanikiwa kuimarisha demokrasi nchini na Diplomasia yetu ndio maana Kamala anakuja. Mwishoni mwa mwaka Rais wa Marekani Joe Biden atakuwa hapa.
Dunia inaona haki zinavyolindwa, demokrasi inavyoimarika. Kudos Mademe President.
katika hili namshauri rais wetu mpendwa asithubutu kujichanganya. the end may not be goodNa lazima muolewe mwaka huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena akujee ashushee gazetiii refuu, mie sio shida zangu,[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Una hamu ya kufokewa na Hohehahe mtumainiye mungu
Mie naongea ukweli, sasa watu wapenzii kwa miaka zaidi ya 8 wanashindwa kuoana kisa illegal, hii sio sawaa.Mkorofi wewe,huwa unaamua kuwatibua nyongo watu hapa.Subiri tsunami ya comments zinakuja [emoji23][emoji23]
Nyie watu khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuja na aina 140 za gender
Si ndio safiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Agenda ya kwanza ushoga baada hapo inamwagwa misaada isiyo na kichwa Wala miguu
Cocastic, Culture na wengine mnafurahia jambo lenye gharama kubwa sana kwa Taifa letu kwa kizazi cha leo na kesho maana;Kikubwaaa Kamala akifika, ashinikize [emoji2380] iwe legally, watu wanataka kuoana, wamechoka uchumba sugu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaMuwe mnataja na mali wanazochuma kirahisi kwetu. Kuja tu haiwaongezei kitu kama vile ambayo haiongezi kwetu.