Karibu getto kwangu

Umemtoa kafara nani baba au mama au mwanao?
 
kwa nini iwe lazima..acha kuamini kwenye nguvu za giza wewe ..nyie ndio mnaoua albino

Hapana mkuu watu wengi hufanya kafara ili wapate mapene nimejaribu kuexpress mawazo ya waafrika.
 
Looks like one dollar bills, au naona vibaya?
 
Hapana mkuu watu wengi hufanya kafara ili wapate mapene nimejaribu kuexpress mawazo ya waafrika.

ndio hivyo na nina uhakika hujawahi kuona kwa macho yako mtu aliyemuua mzazi wake akapata mapesa zaidi ya kupigiwa stori tu si ni ndio?
 
Hongera mkuu ila angalia watu sijue siri ya ndani lazima wakuvamie!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…