Ally96
Member
- Jul 16, 2013
- 32
- 4
Heshima kwenu ndugu zanguni mimi ni first year niliechaguliwa kujiunga na chuo cha kilimo sua kozi ya Bsc.Agr general.Sina budi kuwauliza wakubwa zangu waliopita au waliopo sua juu ya suala hili.Nilikua nauliza gharama za chumba/hostel nje ya campus gharama zake zipoje na availability yake ipo vipi kwa sababu binafsi nisingependa kukaa hostel za chuoni.Msaada wenu ni muhimu kwangu.....Shukran