Jerry Jerry
Member
- Jul 31, 2013
- 40
- 0
Nadhani ni "National Institute of Transport" hapo. Mbona hamtoi/hawatoi mafunzo ya waendesha pikipiki?
Maana majanga wanayopata na wanayosababishia wengine ni makubwa....
Mbona chuo chenu ni kichafu sana kama magofu? yani kimekaa kama soko vile....
Pia kozi gani hapo inato watu wanaouzika?
Mbona chuo chenu ni kichafu sana kama magofu? yani kimekaa kama soko vile....
Pia kozi gani hapo inato watu wanaouzika?
Kuna majengo ya chuo tayari yameanza kuboreshwa, kama vile jengo la uongozi wa chuo ambalo karibu litafunguliwa na bado kuna mikakati mengine endeleve inafuata katika chuo hiki
According to makamu wa chuo
Naomba kujua yafuatayo.
1.upatikanaji wa hostel
2.mazingira ya chuo na mahali kilipo dar kwani me nipo Mwanza
3.changamoto zinazopatikana chuoni
1.Hosteli zipo ila kwa wanafunzi wa mbali
2.Chuo kipo mabibo
3.Changa moto zipo tu za kawaida sana kama unavyojua maisha hayakosi changa moto
4.Karibu sana chuoni, facult gani upo?..
Ni facult nzuri
ajira zake ni kama zipi? Na zinapatikana kiulaini?
ajira zake ni kama zipi? Na zinapatikana kiulaini?
Ajira zake zipo na zinapatikana katika taasisi za usafirishaji kama vile usafiri waangani kama vile ndege, majini na ardhini kama magari na reli, nakushauri field yako ya kwanza kapgie TAZARA
Hosteli za nje zipo, na vyumba pia vipo mtaani bei ni nafuu
Sasa ramani ya pale wewe ukishuka ubongo stendi ya mkoa ulizia chuo cha usafirishaji mabibo bilashaka utafika tu, kwaujumla chuo ni kizuri kuanzia mazingira mpaka taaluma
utanisaidiaje kwnyvswala la kupata chumba????hostel za nje room moja ina'accomodate watu wangapi???au unaeza ht kukaa mtu peke ako????,,,,,,
1.Kwenye suala la kukusaidia kupata chumba itabidi ufike chuoni alafu tutafutane ili tusaidiane, na mwenyewe uone mazingira ya chumba
2.Kuhusu hosteli za nje room inaccomodate kuanzia hata watu watatu, ila ni wewe tu kama unaweza kulipia kodi yote peke yako utakaa mwenyewe..
vyumba vina'range kwenye bei gani????na hzo hostel pia znarange kwny bei gn.....mi nataka connection coz cna ndg huko so nataka nifanye malipo kwa njia yyte ili nikifika moja kwa moja niingie room kwangu jooh...
Yani arif wew njoo 2 kwa siku za mwanzo utapata pa kulala huku unaendelea nakutafuta makaazi..