flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
Wewe kama hujui mambo,you better stay quiet..., hostel zilizopo Wdmi ni kwa ajili ya watu wa OD tu,watu wa bachelor wanatakiwa kutafuta malazi nje ya chuo!!!
maana kwenye joining instructn zao walivyoandika
wamesema degree watatakiwa watafute their own accomodation ...palitustua kdogo
chupu chupu aandike barua ya kuhama tcu maana
hostel zipo
kibao,asidanganywe na wajinga,then hicho chuo ni cha serikali na ni
kikongwe so sio cha kubabaisha kabisa
ukweli ni kwamba WDMI hakuna hostel kwa ajili ya watu wa bachelor zipo za watu wa diploma tu, bachelor wanatafuta sehemu za kuishi wenyewe au wanabebwa na watu wa diploma
hostel zipo kibao,asidanganywe na wajinga,then hicho chuo ni cha serikali na ni kikongwe so sio cha kubabaisha kabisa
Form six anaweza kujiunga na degree hapo ??
Ndo tunamalza smest y 2 now,mwez w 11 tunaanza tn xo unawez ukaomba kuptia tcu,ila diploma application zmeshaanza degree wapo mpka mwka w 2,now wnaend mwka wa 3 karbu majiwameanza lini mkuu degree
Ndyo we omba kuna kozi y bachelor of engineering in water resources and irrigation engineering ,kwa maelezo zaidi ingia hapa then soma prospectus utaelewa zaidi www.wdmi.ac.tz karbu maji ubungo "maji kwa maendeleo" m npo hapa nasoma
Tupiamo hi yo vigezo vya mkopo