Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
Mie, niliamiaga moja kwa moja huko Barca maana nilikua naugua tu
hahaha dawa pale ni kumwondoa yule kibabu.... na kuleta kama wakina gadiola au Morinyo kwanzia jana mi ntakuwa mtu wa kusikilizia matoke tu
Jana Matokeo ya Barcalena vipi? Na mtoto Messi bado anaendelea tikisa nyavu. Mie, nipo polini bwana
wamepiga 3 mtungi mesi kama kawa katupia moja kapika mawili
January yote hii mawindo huko porini mazuri kweli?? kila la kheri huko mkuu usisahau nyama noah pori
Dogo mambo!Sito kusahau Jiwe Linaloishi hata kaupaja ka swala. Napenda sana tamaduni za uwindaji, babu yangu amenipa li gobore
Dogo mambo!
Vip siku imeendaje?
Hivi ndo kusema hamnioni au???? Kwa vile me mfupi??? hebu kujeni hapa mnipe bia moja au zaidi..... Haya naanza na bepari la kihaya Bishanga, daddy watu8 (daddy nina kiu mbayaaaa) Arushaone (King Mswati hata wewe ni wa kuombwa lol) figganigga ntupie walau kiroba... Erickb52 bosaa leo nigee ofa nimefuliajeeee.. Filipo kamoja tu mtu wangu....
Na wengine wooooote wenye huruma!!!!
hahahahaaa nilikuwa ATM najijaza madolari charminglady siunajua mitoko lazma uwe na uwezo wa kufunga bar aiseeDuh.... sijapata kuona watu wabahili kiasi hiki lol!!!!!!!!!!!
Ngoja nkatafte zangu kitu cha Rchga.......
hahahahaaa nilikuwa ATM najijaza madolari charminglady siunajua mitoko lazma uwe na uwezo wa kufunga bar aisee
Haya sema unataka nini mtoto mzuri!
Hehehheee kama wanazingua tuachane nao twende zetu kaunta
Dah leo halali mtu
Hivi charminglady hiyo mikitu haipunguzi zile nguvu zetu maana nisijetoka kapa oooh
Mara nashangaa kitu holaaaa hahahahahaa