hakikisha ukutani hapo kila kitu kimetundikwa Tin namba,VAT ,leseni za vileo na cheti cha usajili,hawakosagi sababu hawa.We siulikuwa unarandaranda mtaani tunakuangalia tu
TRA waje tu nilishawaset
Wanakuja kiushahidi tu ila mambo yako poa
Vyote viko sawa Bishangahakikisha ukutani hapo kila kitu kimetundikwa Tin namba,VAT ,leseni za vileo na cheti cha usajili,hawakosagi sababu hawa.
Karibu sana kijana naona umechelewa sana kunywa chai
Hebu Arabela mletee kijana maziwa fresh na kahawa chap chap
mkuu mbona hujataja kama kuna Rest room za watu kama sisi
hao wahudumu uliowaweka hapo wakwaree watakuwa wanakesha hapo kuwinda
Kama umeona hizo ni kelele basi naongeza na debe la kunisupport.
Haya . . . kilichokufanya uniite kwenye maongezi yenu ni nini? tena kwa habari nyeusi kama hizo?
Na huyo Erickb52 wako huyo . . . . . ngoja kwanza nimeze tonge langu!
Nipo restaurant. Karibuni tuwahudumie Breakfast.
Kuna supu ya kuku,supu ya ng'ombe, kongoro, mkia, pupu, ulimi, mtori, maharage,
Mambo mkuu
poa kiongozi, J3 inasemaje?? mi hangover ya kufungwa
Wewe ni Liver au Arsenal
mimi ni M23 refa alitunyonga mapemaa, akaharibu game