Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hahahahaaaa Kipipi mi mjanja eeeh lol
Halafu waambie wote wanaokuita Kiperemende waache haraka!
Copy kwa .com
hata siamini bado ntamuuliza
sis vipi hujambo? Hapana dada nilimpata mwenyewe. He is handsome dada Kipipi
Anaitwa ZOLOGWA MBABE . . .
Chezea kutoka k/koo to Mbezi kwa miguu.
Utalala hoi babuu!
Hahahahaaaaa aisee yan jina hili nalipenda sana aisee
mbona walioko studio hawanipigii wimbo niliomba mpaka naaza kusizia jamaniiiiii!
Hahaa wasiliana na Madame B atakuleta kama bado hajakata network
Wa zuwena upi ummu kulthum ?huo wimbo ulionipa unataka nimwage radhi nini jf ananijua nani?mi niliwaambia wa zuwenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaah
Dah we acha tu!
Ila ndio raha zenyewe Young Master
Hahahaa isingekuwa raha watu wasingekuwa wanakunywa hadi wanalewa!
Ila wakiamka na hangover ndio wanaanza kujuta kunywa na maumivu yakipungua wanasahau then wanaenda tena kunywa lol
Unapenda nyimbo za mtindo gani?