Hiyo ndio yenyewe na charminglady anaippenda sanaHata togwa, komoni, kangara, mnazi, boha, chimpumu, chibuku, mkangafu, pingu, machozi ya simba, rubisi, mataputapu yote hayo utapata kule nyuma....
Sasa Kipipi humu kuna na Restaurant kwanini usihamie kule pande yenye juice?
Hama huku coz watu washaanza kupoteza memory lol
ummu kulthum ulipotelea wapi mdada??
Kuna kila kitu aisee wewe tu
Watu wamejichimbia kule VIP ray05
Hahahaaaa niliona ulivyokuwa unalalamika lolmi nipo bwana si niligombana na watu kule MMU nikatamani kujitoa
Haya kula huo wimbo ummu kulthummbona walioko studio hawanipigii wimbo niliomba mpaka naaza kusizia jamaniiiiii!
Wewe naweeee unataka bar pawe kimya kama kanisani?
Heheheheee raha ya bar kelele
jaman. OH MY GOD
Hahahahaaaa Kipipi mi mjanja eeeh lolHhahahah . . . . nashukuru mtego wa swali langu umejibu!
Yaani umegonga mule mule nilipokuwa napasubiria.
Kumbe we ndo huwa unajidai kuwagea wenzio eeh?? (as if you can . . . muone vile!)
Hivi hubby wako ni nani Arabela hebu nikumbushe?Erickb52 nimepata habari eti my hubby mdokozi i cant believe
Hahahaaaa niliona ulivyokuwa unalalamika lol
Kule MMU kuna watu vichwa vyao haviko sawa aisee yan wamekaa kishari sana!
Achana nao bhana njoo ukae huku achana na mambo ya mapenzi kwanza mapenzi na story zao zote fake