Hehehee plus ndovu lol
Atakula mweleka wa hatari
Aje athibitishe yoyote nilie mtongoza humu
Siunalegeza sauti
Unapoteza bahati dogo
Kumbuka tuko Pub oooh
Copy kwa LiverpoolFC akiwa anaangalia mpira kule VIP
Njoo pande hii uone hawa Looserpool wanavyoutafuta kwa tochi...hahahah!!
Hahahaaaaa we ndio huoni vema