Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Karibu Chit-Chat Pub And Restaurant

Erickb52

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
18,554
Reaction score
11,485
Wana JF,

Kwa niaba ya Bishanga, The secretary , Mr Rocky na bibie Amyner napenda kuwakaribisha kwenye hii Pub & Restaurant yetu mpya ambayo inawapa fursa kuja kupata vinywaji mbali mbali ukiwa na marafiki na kubadilishana mawazo.

Kwenye hii pub kuna sehemu za maongezi kwa couples,kuna kasehemu ka kudance kwa watakaopandwa na mizuka ya music.
Kwa singles kama manoah au watalakwa km nitonye ndio nafasi yenu ya kuja kukutana na single wenzenu. Wazee pia babu Dark City Asprin na Mtambuzi mnakaribishwa kupata kahawa na wajukuu au na Bibi zetu.

Kwa wale wakorofi wajue mibaunsa yetu Mungi Arushaone watu8 Baba V na Ruttashobolwawatawavunja viuno!
Wapenda wake za watu km Vin Diesel kuweni macho....msione vyaelea!

Kwa wale wapenda privacy na status kuna VIP lounge huko utakutana na akina Paw na King'asti Chimbuvu na Madame B Fang na watu wa dizain hiyo ila mlangoni utakutana na Invisible kwa ukaguzi.

Kwa huduma ya haraka kaunta yuko Lily Flower na marejesho na wahudumu kwa bar ni Kongosho na cacico .Restaurant ni Arabela sweetlady na KOKUTONA
Music ni Slave na Nicas Mtei
Managers ni Kipipi na Filipo
Kwa kuanza hebu cacico niletee Ndovu moja baridiiiii nianze nayo faster!
Karibuni sana wana JF woote tujumuike pamoja!

Copy kwa FP amu Paloma Jiwe Linaloishi St. Paka Mweusi Mentor SnowBall Smiling Saint @Ciello TANMO Judgement Preta KakaKiiza LiverpoolFC Mzee wa Rula Blaki Womani charminglady beibe nasty nivea gfsonwin snowhite Mamndenyi PakaJimmy Katavi Rich woman measkron Mwanyasi AshaDii Young Master YNNAH IGWE Preta Remmy Smile Tonykp mwaJ zumbemkuu Dena Amsi
Elizabeth Dominic
 
Last edited by a moderator:
Wana JF,
Kwa niaba ya Bishanga The secretary , Mr Rocky na bibie Amyner napenda kuwakaribisha kwenye hii Pub & Restaurant yetu mpya ambayo inawapa fursa kuja kupata vinywaji mbali mbali ukiwa na marafiki na kubadilishana mawazo.
Kwenye hii pub kuna sehemu za maongezi kwa couples,kuna kasehemu ka kudance kwa watakaopandwa na mizuka ya music.
Kwa singles kama manoah au watalakwa km nitonye ndio nafasi yenu ya kuja kukutana na single wenzenu. Wazee pia babu Dark City Asprin na Mtambuzi mnakaribishwa kupata kahawa na wajukuu au na Bibi zetu.
Kwa wale wakorofi wajue mibaunsa yetu Mungi Arushaone watu8 Baba V na Rutashobolwa watawavunja viuno!
Wapenda wake za watu km Vin Diesel kuweni macho....msione vyaelea!
Kwa wale wapenda privacy na status kuna VIP lounge huko utakutana na akina Paw na King'asti Chimbuvu na Madame B Fang na watu wa dizain hiyo ila mlangoni utakutana na Invisible kwa ukaguzi.

Kwa huduma ya haraka kaunta yuko Lily Flower na marejesho na wahudumu kwa bar ni Kongosho na cacico .Restaurant ni Arabela sweetlady na KOKUTONA
Music ni Slave na Nicas Mtei
Managers ni Kipipi na Filipo
Kwa kuanza hebu cacico niletee Ndovu moja baridiiiii nianze nayo faster!
Karibuni sana wana JF woote tujumuike pamoja!

Copy kwa Mentor SnowBall Smiling Saint TANMO Judgement Preta KakaKiiza LiverpoolFC Mzee wa Rula Blaki Womani charminglady beibe nasty nivea gfsonwin snowhite Mamndenyi PakaJimmy Katavi Rich woman measkron Mwanyasi AshaDii Young Master YNNAH IGWE Preta Remmy Smile Tonykp mwaJ zumbemkuu Dena Amsi

Naomba nimjue Aunt yangu, kwa Anko Fang, maana kama umeishia kati vile........
 
Last edited by a moderator:
Sengwile sana, nimatamu aisee, ni ya ng'ombe walie changanya mbegu na nyati nini?
Karibu sana kijana naona umechelewa sana kunywa chai
Hebu Arabela mletee kijana maziwa fresh na kahawa chap chap
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom