Anaitwa captain Gardner G Habash..Ndan ya clouds FM ,, G captain tenaa ndani ya jahazi
Kwani kazi ya redio ni nini mkuu? Au una maanisha commercial adverts?Redio ya matangazo
Mkuu wamekuwa too much kwa matangazo najua ndio yanayowapatia kipato ila sasa duuh!! Wasikilizaji tumekimbia manake kila baada ya sekunde tangazo dah!!Kwani kazi ya redio ni nini mkuu? Au una maanisha commercial adverts?
Hapo kwenye commercial adverts kwa kweli mpk wanaboa. Yani hua nikiskia tangazo tu ooh mara group la maex wako, mara tigo, airtel, mikopo khaaa hata wawe wanatoa moja moja kuliko kifuruliza..wengine hata hayatuhusu