German sherphad ndio nini?Mimi nimefuga mbwa German sherphad, wapo dolia kila siku night, sasa wewe sogea
Unasemaje? 😆😆😆, Goba kumekuwa na wezi wa vifaa vya magari wanaitwa mchwa. Wakifika kwako 'wanatafuna' gari kwelikweli. Kuna posts humu za watu kuuliwa mbwa wao wa ulinzi na mali zao kuporwa.Goba na Makongo juuu sehemu angalau kwa Dsm kuishi
Wakazi wa sinza wote wezi.mnachotofautiana na Huyo mkata madirisha ni yeye kutumia nguvu zaidi kuliko akili. Ila ukiniambia tu unakaa sinza bila mjadala we we ni mwizi hasa tapeli, au kahaba,muuza ngada,Hindi hewa,.Mtu anayejiheshimu hawezi ishi.Sinza.Leo imekuwa ni vilio na hamaki kwa raia wa hapa Sinza A, baada ya kuamka asubuhi na kukuta madirisha yao yametobolewa na kukatwa kwa nyavu.
Inasemekana, walipuliza dawa ya usingizi ndipo wakafanya unyama huo. Watu wameibiwa pesa, laptops, simu, vitu vya ndani kibao.
Hapo unapoishi, kuna wizi wowote umefanyika?
Anayejua jinsi ya kujikinga na hiyo sawa, atupe elimu hapa.
Poleni wahanga wote wa wizi huo.
Nawasilisha!
We pung'o wamesema wamekata madirishaJF kuna wapumbavu wengi kweli, mada serious watu wanachangia ujinga hadi kero
Dawa ya kudhibiti wezi kama hao ni kuweka zile chuma za dirishani zikiwa zimebanana tu ili asiweze kupitisha simu
Madirisha mengi yana ma grill yenye nafasi kubwa sana na mengine hayana kabisa,
Inabidi kubadili staili ya ujengaji wa nyumba kukabiliana na hatari hii
Goba kuna wezi kuliko Sinza. Uliza wamiliki wa magari wanachofanyiwa hadi mbwa wanauawaGoba na Makongo juuu sehemu angalau kwa Dsm kuishi
Mkuu wewe unaishi wapi? Usipende kujumuisha.Wakazi wa sinza wote wezi.mnachotofautiana na Huyo mkata madirisha ni yeye kutumia nguvu zaidi kuliko akili. Ila ukiniambia tu unakaa sinza bila mjadala we we ni mwizi hasa tapeli, au kahaba,muuza ngada,Hindi hewa,.Mtu anayejiheshimu hawezi ishi.Sinza.
Muulize kidukulilo alipita hapo kwa mbali akiwa kwenye Range yakeNilifikiria kuja kupanga Sinza, kumbe ushenzini sana. Asante kwa taharifa mkuu. Plain A nimeifuta, naendelea na plan B mbezi beach au Goba
Toa ufafanuzi maana huweleweki unamaanisha niniKesho unaenda kunywa maji unakufa. Unakuwa umejiokoaa kuibiwa na unakuwa umepata nafasi ya kwenda mbinguni. Kuishi sehemu zisizo na ulinzi ni hatari sana
Dawa ya wezi na majambazi ni kuua tu. Tofauti na hapo wizi utaendelea. Mtaa ninaoishi mimi, akikamatwa mwizi au wezi ujue kifo kinamhusu. Dar wezi wanalelewa, utasikia mtu anasema "naye atakula wapi" Watu wafanye kazi halafu yeye ale kirahisi.Goba kuna wezi kuliko Sinza. Uliza wamiliki wa magari wanachofanyiwa hadi mbwa wanauawa
Ahahahahahw
Mwache yupo anatuliza balaa la mafuriko kuponya watu. Drone yake imefanya kazi sana jana. Mwache mdogo wangu apumue.
Dawa ni ulinzi shirikishi basi.
German sherphad ndio nini?
Ungekua hutumii TECNO simu yaki ingekuambia kwamba neno sahihi ni
"German shepherd "
Huyo akija mwenye nyama imewekwa sumu ya ya panya ya buku 2 kaisha.
Poleni wanaume wa Dar es salaam
Wakikudhamiria wanajiandaa. Hao mbwa utawakuta wamelala chali asbh, na wameiba walichotaka.
Huyo akija mwenye nyama imewekwa sumu ya ya panya ya buku 2 kaisha.
Poleni wanaume wa Dar es salaam
Nakupa onyo usirudie kunitukana, kama hukubaliani na hoja yangu kosoa ila usinitukaneWe pung'o wamesema wamekata madirisha
Leo imekuwa ni vilio na hamaki kwa raia wa hapa Sinza A, baada ya kuamka asubuhi na kukuta madirisha yao yametobolewa na kukatwa kwa nyavu.
Inasemekana, walipuliza dawa ya usingizi ndipo wakafanya unyama huo. Watu wameibiwa pesa, laptops, simu, vitu vya ndani kibao.
Hapo unapoishi, kuna wizi wowote umefanyika?
Anayejua jinsi ya kujikinga na hiyo sawa, atupe elimu hapa.
Poleni wahanga wote wa wizi huo.
Nawasilisha!