mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Jamani,mimi ni kijana ambaye nimekulia Ilala na sasa ninaishi hapa kariakoo
takribani miaka 10 sasa. So ninamarafiki au washikaji wengi sana kuanzia wa
bantu wenzangu,wapemba,waarabu,wahindi kidogo na wangazija kidodo'kwa
ufupi najulikana kidogo mitaa ya livingstone,sikukuu,tandamti,msimbazi,congo,
swahili,narung'ombe,lumumba,uhuru nk. Na kule Ilala najulikana kuanzia mitaa
ya arusha,moshi,tabora,amana,lindi,kasulu,bungoni nk.
Lakini pindi niletapo mada au hoja fulani ya kuikosoa serikali ya ccm'basi hapo
huwa navuruga hali ya hewa kwa marafiki zangu wote! yaani wanaipenda ccm
sijapata ona! ni balaa tupu. kila ninapojitahidi kuwaelimisha kwa kuwapa mistari
safi na yenye ushahidi' wao ni watu wa kubisha tu! eti wanasema wao na mbunge
wao ZUNGU,wao na ccm tu.
Binafsi mimi ni mwanachama wa CDM na ninaipenda sana chadema,hivyo huwa na
jaribu kuwapa hawa marafiki zangu sera za CDM na geografia yake kwa manufaa
ya Taifa letu na wananchi wote. Jibu lao wanasema ni bora kuipenda CUF kuliko CDM. Ukiwauliza kwanini,utasikia wanakujibu CDM ni chama cha wakristo na ukabila na hatukitaki hata kukisikia. Najaribu kuwaeleza kuwa hizo ni propaganda
za ccm na msizikubari' lakini hawa wakazi wa huku ni wabishi kuanzia wazazi hadi
vijana wao.
My take - Kinachoniuma nikuona Ilala na kariakoo ndio makao makuu ya jiji la
bongo na labda huenda ndipo kuna wajanja wengi sana ambao wangeleta chachu
ya mabadiliko ya kuiondoa ccm madarakani. Lakini sielewi kwanini wakazi wa mae
neo haya hawaipendi CDM? tufanyenini ili hawa watu waamke kwa faida ya CDM?
Iweje CDM ikubarike vijijini na mikoani alafu ishindwe kukubarika Ilala na kariakoo?
Nawasilisha wandugu