Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi

Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.

Kwa habari Zaidi endelea kufuatilia habari zetu na mitandao yetu ya kijamii.
View attachment 2768214View attachment 2768216
Pale ni karibu sana na makao makuu ya jeshi la zimamoto na uokoaji aka "fire".

Hatutarajii watatuma gari isiyo na maji
 
msije kuchoma majenereta yangu yanayosababisha mgao wa umeme, yale mpaka yaishe na mkiyachoma naleta mzigo mwingine wa kuisha juni 2024. mtaipata nyie fanyeni mchezo 😳

Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.

Kwa habari Zaidi endelea kufuatilia habari zetu na mitandao yetu ya kijamii.
View attachment 2768214View attachment 2768216
 
Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.

View attachment 2768279
Siku ya moto, barabara ya kutokea Sinza Vatican pia kuna nyumba imeungua
 
Habari za awali: Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijajulikana, unaunguza maduka ya wafanyabiashara Kariakoo karibu na kituo cha mafuta cha Bigbon Msimbazi, jijini Dar es Salaam.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea jitihada kudhibiti moto huo, huku wafanyabiashara wakiendelea kuokoa baadhi ya bidhaa zao.

View attachment 2768279
Serikali inajiandaa kununua vifaa vya kisasa vya kuzimia moto ila pesa ya kununulia maviete hazikosagi
 
Back
Top Bottom