Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.

Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..

Pengo... utafanya nini....

Kaka Pengo hausiki hapo, zanzibar ni jimbo na linajitegemea. Labda useme rais wa maaskofu ambaye ni rais wa TEC.

Ila mimi nashauri kwa sasa wakristu wote wasusie kufanya kazi na serikali mpaka itakapohakikisha wote waliousika na dhuluma dhidi ya dini wamechukuliwa hatua na kuhukumiwa.
 
hao wauaji na wote wanaotetea mauaji yoyote yale ni wahalifu. wanapaswa kushtakiwa na kupata wanachostahili kama wahalifu wengine. wapo akina Boko haramu (Nigeria), al Shabaab(Kenya), akina Osama nk wanatumia uislamu vs ukristo kujinufaisha. hapa bongo kuna haya makundi ya akina Ponda, Ilunga na wenzake ambao wanachochea dhana ya udini kwa manufaa yao.
kwa watanzania wa kawaida na walio wengi, kuna kuheshimiana sana kati ya waislamu na wakristo.
Hivyo suala hapa ni kwa vyombo vya dola kuchunguza na kuwatia hatiani hao wahusika wanaoeneza chuki hizo. ikiwemo Radio na mahubili ya uchochezi
 
Vipi kale kawaraka kalikosambazwa na Wakatoliki 2010 ilikuunga mkono Dr. Slaa bado kanawatafuna nini?
 
Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.

Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..

Pengo... utafanya nini....

Hii ni dharau kubwa sana wanayo onesha waislamu.
Ona kwenye hii video,wameua wao,wanakimbia kutoa tamko wao eti
"Viongozi wa dini tukae tuzungumze nini kiini cha tatizo"
Bado kidonda kikiwa kibichi,ana tumia tukio hilo hilo kutangaza
mihadhara yao. upuuuzi wa ajabu sana huu wa kiislamu.

Kwani kiini hamkijui?
Ni nyie wenyewe waislamu,kila mnapo kutana mnapanga mauaji tu.
Sasa wakae na nyie kutafuta nini?
cha muhimu tuombe serikali itu gawie mapanga kila mwananchi,na ipigwe filimbi.
Watakao baki hai wata simulia vizazi vijavyo.
Baada ya hapo heshima itarudi,upole umezidi.

Last edited by a moderator:
kiukweli tumechoka kuona TEKI na PENGO wapo kimya tunataka tamko na utekelezaji wa matamko kama wameshindwa watwambie tuingie barabarani make hatuwezi kukubali viongozi wetu wa kidini wanauwawa kila siku
 
Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.

Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..

Pengo... utafanya nini....

Kaka unapenda sana kulinganisha vitu ambavyo hafinani. Ili mradi hoja yako ipate mashiko.

"Mapadre kuuwawa na utawala dhalimu"

Mapadre wa Pengo wanauawa na utawala uliopo madarakani? Maana ndio thesis ya hoja yako. Au hudhani?
 
PENGO kalala usingizi wa pono anfurahia kutembela mashangingi yasiyolipiwa kodi, amesinzia baada ya kupewa ofisi tukufu yenye kiyoyozi...

PENGO uko wapi???

PENGO umekua BUBU siku hizi??

PENGO umelala???
 
Pengo Pengo Pengo kama unaona kuna Pengo katika kanisa mbalo wewe huwezi kuliziba basi waachie wenye kulimudu....TUMECHOKA waumini wako la hasha tutaamua wenyewe....hizi si zama za akikupiga la kushoto mgeuzie la kulia..hawa wanatuonaga wakristo mabwege sana kama hatuwezi tifu...sasa tumechoka...soon wataona mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba mpaka kuku na bata patachimbika ati!!! Narudia tumechoka waseminari kina Pinda na Membe ndo wanafiki wakubwa hawana lolote.
 
busara ya kimungu haiko hivyo.pia tusichangaye kujiuzulu kwa baba mtakatifu na pengo.pengo achuue hatua gani?kama kikwete na serikali imeshindwa ni kwa watanzania wote kusimama sio pengo mwenyewe.
 
Walipofuatwa Waislamu msikitini na kuwawaa pale Mwembechai, Mtukufu Pengo alitoa tamko kuwa wale waliuwawaa ni wahuni, hakujua anachokipanda na PHD zake za Theolojia

Leo mmeanza kuona kumbe Waumini wenu wakiuwawa inaumaaa eenh ? Mkuki kwa Noah.....

haya maneno kama unayatoa kwa akili yako naomba mwenyezi mungu akulaani,mana wathibitisha muaji ni muislam anaelipa kisasi
 
kumbe huyu mwanakijiji nae ni bure kabisa kama mitoto mingine ya CHADEMA. Nani kakuambia Mushi kauawa na serikali au sababu za kidini? Pengine ni ugoni au wamedhulumiana kwenye ujambazi unajuaje? Acha kupotosha umma

Tatizo umri,ashajichokea .
 
Alikuwepo Askofu Mkuu Oscar Romero; alisimama dhidi ya utawala wa kidikteta na akatoa ujumbe wa kinabii (prophetic message). Alifanya hivyo baada ya mapadre wake kuuawa na utawala dhalimu. Pengo amezoea kukaa katika starehe mno, kula na kunywa na wakubwa na ameacha kusimama kama nabii. Anapenda heshima. Wakati umefika kwa Pengo kuonesha kuwa anastahili cheo alichonacho.

Tunahitaji Oscar Romero wetu... vinginevyo huku tunakokwenda kubaya. Oooh ninavyoogopa kusikia Shehe kauawa; Msidhani haiwezi kutokea au kwamba hawa Wakristu ambao ndani ya wiki moja viongozi wao wawili wameuawa nao wataendelea kukaa kimya..

Pengo... utafanya nini....

Nimemsikia Askofu Ruwaichi wa Mwanza akihimiza wakatoliki watulie na kwamba wasilipize kisasi, kwamba kumtendea uovu aliyekutenda uovu ni sawa na kufanana naye, ni kudhalilisha ukristo. Lakini akumbuke puto likijazwa sana hupasuka. Bastola hata upande huu zipo.
 
ki ukwel UPOLE NA HOFU NA MAFUNDISHO YA WAKRISTO;i.e "akupigae shavu la kulia mgeuzie na la kushoto" waislamu wanavitumia vibaya!! hebu jaribu kufikiri shehe mmoja tu, ajeruhiwe kidogo tu kwa risasi na "wanaodhaniwa" kuwa wakristu achilia mbali kuuawa kinyama kama ilivyotokea kwa Padri huko Zanzibar na askofu kule Mwanza, na uchomwe moto msikiti mmoja tu, kama yalivyochomwa makanisa, hivi Tanzania hii patakalika??? je, ni kweli kuwa WAISLAMU nao watavumilia na kuvuta subira kama wakristo tunavyoambiwa??????? Ni ujinga kusema hatutafika huko, ni vema tuelewa na KUKUBALI kabisa kuwa hawa "wanaojiita" waislamu, watetezi wa dini yao, hawana nia njema na nchi yetu, pia wao kwao amani na utulivu kwao ni upuuzi hivyo wanaweza hata wakamdhuru shehe yeyeto na kuangusha skendo kwa wakristu hivyo wakawa wamepata sababu ya kukuza vurugu na umwagaji damu ambao kwao wanasema ndo kutetea dini. kikubwa cha kufanya chondechonde viongozi wa dini nyie ndo watu muhimu wakulimaliza hili japo kiukweli limechochowa na wanasiasa na kukuzwa na wasioifahamu dini ya kiislam au walioamua kuitumia dini hiyo kwa maslahi yao wenyewe!! NAMI NAUNGANA NA MWANAKIJIJI KUHOFU SIKU SHEHE ATAKAPOUAWA, MUNGU AEPUSHIE MBALI HILI!!
 
...kwa kifupi hatuna serikali,nchi inaongozwa kihuni tu,nachukia hili neno tuwe na 'subra',yesu kristu mwenyewe alikemea maovu itakuwa ni ajabu kwa cardinal pengo kukaa kimya tu,mpaka wafe wangapi ndo azungumze?
 
Nadhani sio busara kutaka pengo atangaze vita dhidi ya waislamu kwani akifanya hivyo naye atakuwa ametenda dhambi kwa mujibu wa imani ya kikrisu na kanisa takatifu katoliki. Ilishawahi kutokea huko nyuma mwaka 1098 wakati papa urban alipotangaza vita dhidi ya wavamizi wa kiarabu waliovamia maeneo matakatifu ya bethlehem na jeriko. Wakristu wengi waliuawa katika vita vile japo kuwa mwishoni wakristu walishinda waarabu/waislamu. Tatizo lingine nadhani wenzetu muslims watakuwa na access ya amunition. Kibaya zaidi wapiganaji wa kiislam watatoka maeneo mbali mbali kama vile uarabuni, somalia, afganistan na kwingineko hali itakuwa mbaya zaidi. Ninachoomba tumwombe mungu aingilie tuepuke yasitokee zaidi.
 
Walipofuatwa Waislamu msikitini na kuwawaa pale Mwembechai, Mtukufu Pengo alitoa tamko kuwa wale waliuwawaa ni wahuni, hakujua anachokipanda na PHD zake za Theolojia

Leo mmeanza kuona kumbe Waumini wenu wakiuwawa inaumaaa eenh ? Mkuki kwa Noah.....

una uhakika na unayosema au ni ujinga mnaojazwa na wajinga wenzenu misikitini!
 
Mauaji ya padri ni kitendo cha kinyama kinachostahili kufanyiwa uchunguzi na wale wote watakaopatina na hatia ni lazima wachukuliwe hatua kali. Kadinali pengo ni kiongozi mwenye busara ya hali ya juu, anajua nini cha kufanya na anatambua kuwa kuchochea vurugu zaidi siyo utatuzi wa tabia hii ya kighaidi inayofanywa huko Zanzibar.

Well said mkuu,Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo ni mtu mwenye busara asiyekurupuka kama Mzee Mwanakijiji.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Suspect namba moja ni Ilunga wa Mwanza na serikali inajua .Lakini hagusiwi hata mara moja .It is about time Catholics kusimama ama wakristo wasimame labda kutakuwa na nafuu baada ya hapo .

Kwa hili la mauaji, sidhani kama hata "coordinates" zake kwa sasa kama zinaweza kuwa 'detected' kwenye vyombo maalum.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom