Crucifix
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 1,651
- 589
UKITAKA KUJUA mambo ya katoliki yanavyokwenda kaka hebu angalia hapa chini...#
Fatima Your Last Chance 2012:The Third Secret Contents Regarding the Church - Fr Gruner - YouTube
Waumini lazima wamfie mungu wao na sio kukaa kimya... mfano wasia dini wa Uganda na wengineo wa namna hiyo.. siwezi sema zaidi ya hapo... pengio akitoa tamko , atasaidia kupunguza upuuzi huu wa wajinga wachache na kuiamusha serikali...
Bro, sina haja ya kujifunza ukatoliki kupitia bandiko la youtube. Halina imprimatur yoyote na hivyo linakosa uhalali wa kuitwa la kikatoliki hata kama anayeongea hapo ni askofu. Sasa wacha mimi nikufunze kitu. UKITATOLOKA KUJUA MAMBO YA KIKATOLIKI KUPITIA MTANDAO NENDA
The Holy See
hii ndiyo tovuti rasmi ya kanisa letu na matamko utayapa huko, achana na kudai tamko la Pengo kwa sasa tunafanya mipango ya mazishi.