Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la ATCL ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona ina unafuu sana.

Shetani anajua wapi ulipokuwa na udhaifu kisha anakukamata na anafanya jitihada alipokukamatia uonekane.

Kwani panga boi zishaanza kutua Sumbawanga?
 
what does he knows about life anyway...
hafanyi biashara, hafanyi kazi yenye challenge za kiuchumi, so aongee tu
Kwanza hawa maaskofu wameshapoteza credibility kwa jamii, hatujasahau kuna maaskofu wamepewa mgao wa ESCROW, Pengo akiomba kuchangiwa na waumini kila muuminia amchangie shilling 100 tu kwa jimbo zima la Dar anakusanya zaidi ya shilling millioni 200 kwa jumapili moja tu tena hii haihusiani na sadaka nyingine.

Sisi tunawaheshimu maaskofu tumekaa kimya sasa wanatuchokoza, huu moto anaojaribu kuuwasha huyu kadinari Pengo sijui kama anauweza,
 
Kweli Askofu wangu kavimbiwe. Viongozi wa dini wakati mwingine hushangaza sana hasa wanapotoa mawazo yanayofanya tushangae namna wawazavyo.
 
Kunamuda hawa mababa zetu wa kiroho wanakera sana!!Mungu saidia but mapinduzi ya kweli kuacha ya zanzibar ya ccm kuiua Tanu mengine niyakuikataa katoliki ya Tanzania na Bakwata(viongozi wao)hawa ndio wanakwamisha malengo mema ya Tanzania kwa kuifuga ccm wanayoijua vyema hatuwezi kuendelea kuwa na nchi ya kidini namna hii
 
Bora kukaa kimya,
Sometimes nadhani tz tumelaaniwa laana kubwa sana. .
Watu wanaotegemewa kusemea wengi ambao ni wanyonge wanajigeuza kuwasemea na kuwasifia malodilofa na mabwanyenye. .
 
Back
Top Bottom