Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

Kipindi hicho Pengo anasifia na sasa; hali ya maisha mtaani ikoje baada ya kuambiwa samia ameiponya nchi?!
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu Tumaini.

Baba Askofu akitoa salamu za Xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika.

Kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo hela zitapatikanaje wakati watu hawana hela baba askofu?

Anasema yeye hakuwajali na akawaambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.

Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la ATCL ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona ina unafuu sana.
Nikakumbuka na issue ya katiba mpya namna alivyoharibu na kupingana na baraza la maaskofu wakatoliki, nikasikitika sana kwa kweli nikaona kama kuna wa dini tofauti amesikiliza mda huo basi tutakuwa tumedharaurika sana sisi waamini.

Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?

Ushauri:TEC imzuie askofu huyu kutoa matamko badala yake kauli nzito kama hizi ziwe zinatolewa na TEC au zipate baraka zake. TEC imuonye askofu huyu pia itoe tamko kauli ile ni ya Askofu bimafsi wala si kanisa katoliki.
Akhsante.
Mnafiki sana huyu mzee
 
Mungu anamuona.
Alimtaka Bashite ndiye awe rais baada ya marehemu. Hatari sana
 
Hivi hakuna mtu hapo jirani akaondoe bati katika chumba alicholala huyu Askofu? Maana wengine nasikia huwa hawaondoki bila kuwafanyia hivi, ni mambo ya kimila tu, kwa wanaoelewa
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu Tumaini.

Baba Askofu akitoa salamu za Xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika.

Kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo hela zitapatikanaje wakati watu hawana hela baba askofu?

Anasema yeye hakuwajali na akawaambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.

Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la ATCL ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona ina unafuu sana.
Nikakumbuka na issue ya katiba mpya namna alivyoharibu na kupingana na baraza la maaskofu wakatoliki, nikasikitika sana kwa kweli nikaona kama kuna wa dini tofauti amesikiliza mda huo basi tutakuwa tumedharaurika sana sisi waamini.

Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?

Ushauri:TEC imzuie askofu huyu kutoa matamko badala yake kauli nzito kama hizi ziwe zinatolewa na TEC au zipate baraka zake. TEC imuonye askofu huyu pia itoe tamko kauli ile ni ya Askofu bimafsi wala si kanisa katoliki.
Akhsante.
Hand to mouth Priest🤣
 
Back
Top Bottom