Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

Chadema wasipochukua nchi 2020 cjui watachukua lini ? Maaanake watu wamechoka sana ? Uongo mwingi sana wakati sisi tunaona uhalisia tunauona [HASHTAG]#mwaka[/HASHTAG] 2020 mtakumbuka kauli hiz bila kubadilisha hali ya uchumi kwa wananchi na watumishi na serikali haijui bomu lao ni watumishi wao ...
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu tumaini.
Baba Askofu akitoa salamu za xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika, kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo ela zitapatikanaje wakati watu hawana ela baba askofu? Anasema yeye hakuwajali na akawambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.
Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la atcl ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona inaunafuu sana.
Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?
PengO hana akili. Aache mambo kis.enge

Hivi anajua ugumu wa maisha.

Labda anamaana awamu hii kuna unafuu wa maisha ya kikristo maana MAGUFULI AMEWAWEKA WAKRISTO WENGI ZAIDI KWENYE UONGOZI (MORE THAN 92%) KULIKO AWAMU ZINGINE ZOZOTE
 
Tunaopanda ndege ndio tunajuwa bei za ndege, mpaka sasa hakuna mbadala wa Fastjet kubali hili au kataa.

ingia hapa ujiridhishe usilishwe ujinga www.fastjet.com
Furahi ndg ukiwa kama Mtz kuwa shirika lako linaenda kuteka biashara iyo!We ni mmoja ya wanaonuna...?Anyway,Ndio linafufuka ivo mpaka 2020 litakuwa na midege inayokata anga mpaka Milan,Paris,Amsterdam,Mumbai etc
 
Chadema wasipochukua nchi 2020 cjui watachukua lini ? Maaanake watu wamechoka sana ? Uongo mwingi sana wakati sisi tunaona uhalisia tunauona [HASHTAG]#mwaka[/HASHTAG] 2020 mtakumbuka kauli hiz bila kubadilisha hali ya uchumi kwa wananchi na watumishi na serikali haijui bomu lao ni watumishi wao ...
Wewe pekee na mumeo kule Himo ndio mmeichoka Serikali maana hakuna udokozi tena! CDM kuchukua Nchi sahau kabisa hilo labda Miji ya Arusha na Moshi!!
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu tumaini.
Baba Askofu akitoa salamu za xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika, kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo ela zitapatikanaje wakati watu hawana ela baba askofu? Anasema yeye hakuwajali na akawambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.
Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la atcl ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona inaunafuu sana.
Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?
Umesikia maneno yaliyo kinyume na uhalisia wako but still ukaenda church kupeleka sadaka kutimiliza lengo la kanisa kukusanya mapato. Duuh....endeleeni kupigwa tu. Mimi ibada kuu kwangu ni UPENDO.
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu tumaini.
Baba Askofu akitoa salamu za xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika, kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo ela zitapatikanaje wakati watu hawana ela baba askofu? Anasema yeye hakuwajali na akawambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.
Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la atcl ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona inaunafuu sana.
Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?
Fairly speaking jumuiya yetu hukusanya mil 10 au 8 ila Mwaka huu tumekusanya Tatu na ni dar.....

Hizi Tania ndio zilipelekea RC kupoteza mvuto Marekani kwa watu weusi........

Unafiki.....!
Mungu nisamehe though nitabaki kuwa mkatoliki milele mapungufu ya MTU si ya taasisi(Catholic )
 
Unafiki ni sifa muhimu sana kwa kiongozi yeyote wa Africa...pia Africa kwetu hapa DINI na SIASA ni mtu na mkewe...

Pengo anatia huruma sana...

Yaani hii dunia,everybody wants to stick a dick to a common mwananchi,sijui wanatatubakisha wapi...

Ndio maana siamini dini yoyote na wala mungu yoyote au shetani yeyote...all these are spooky businesses!
Inawezekana wewe ulijiumba mwenyewe na kula yako pia unatengeza kwa mikono yako hongera kwa hilo
 
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu tumaini.
Baba Askofu akitoa salamu za xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika, kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo ela zitapatikanaje wakati watu hawana ela baba askofu? Anasema yeye hakuwajali na akawambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.
Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la atcl ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona inaunafuu sana.
Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?
Father Mapunda amesema nini?
 
Back
Top Bottom