Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

Amevimbiwa sadaka zetu huyu! Kwani naye huwa anatafuta pesa mpaka ajue kama maisha ni magumu? Yeye sisi hata tukilala njaa hakika yeye chooni lazima ataenda tu sasa shida iko wapi!
 
PengO hana akili. Aache mambo kis.enge

Hivi anajua ugumu wa maisha.

Labda anamaana awamu hii kuna unafuu wa maisha ya kikristo maana MAGUFULI AMEWAWEKA WAKRISTO WENGI ZAIDI KWENYE UONGOZI (MORE THAN 92%) KULIKO AWAMU ZINGINE ZOZOTE
Hapa ndipo nilionapo kundi lenu kuwa ni wenye mitazamo isiyofaa kabisa, kama ndo matunda ya mti wenu, nahisi ni heri kuipanda michongoma. Kwann mnakosa uwezo wa kufiri vizuri ninyi? Viongozi wote hata wakiwa wa upande wako we binafsi usipojishughulisha itakusaidia nn? Hivi kati ya mabilionea wakubwa Tz wa kundi lipi ni wengi? Watu wanajadili maswala muhimu ya kitaifa, unaleta sumu za kidini. Uislamu umeundwa ktk kulaumu tu hata vitabu vyao Mungu wao ni wa kulaumu tu. Hivi kwann mnaongelea dini 2 tu hapa nchini wakati kwanza zina watu wachache hata nusu ya watz haifiki, ktk dini zote za kigeni. Mbona wenye dini za asili, tena ndo dini zenye asili ya nchi hii, hawalalami?
 
Maaskofu wa kweli wapo Congo na ndio wameokoa nchi isiingie vitani, Tanzania ni rahisi kwa kibaka kwenda mbinguni kuliko hawa maaskofu.

Be careful with this Men of God.
Sio Congo tu pia Afrika Kusini na Kenya viongozi wa dini walikuwa mstari wa mbele kupiigania haki za wanyonge.We should treat the remarks with the contempt that they deserve.
 
Ulitegemea aseme nini ilihali anaishi kwa sadaka unayotoa ye hawezi kujua kama hali ngumu mpaka avue yale mavazi arudi uraiani
 
Unafiki ni kipaji kwa baadhi ya hawa "viongozi wa dini" hivi si angeweza kuwaita waumini wake 20 tu ili apate maoni yao kuhusu gharama za maisha nchini badala ya kuongea pumba!

Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu tumaini.
Baba Askofu akitoa salamu za xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda kwa wale ambao walizoea kupata fedha ambazo si halali ndio wanaolalamika, kukazia hilo akasema mavuno ya mwaka huu waliweka target ya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha, watu watatu wakamfuata wakati akitangaza malengo hayo na kumuuliza hizo hela zitapatikanaje wakati watu hawana hela baba askofu?

Anasema yeye hakuwajali na akawaambia fedha zitapatikana na kweli zikapatikana sasa leo anasema akisikia watu wanalalamika anashangaa wakati malengo yao yalitimia.

Akaendelea kusema kuwa awamu hii kwake ni nafuu sana kwani akipanda ndege kwenda kwao kwa shirika la ATCL ni karibu nusu ya nauli ambayo mashirika mengine yanatoza, kwa hiyo awamu hii yeye anaona ina unafuu sana.

Basi nikazima redio kwa upole na kuelekea zangu kanisani huku nikiwaza ule ukali wa maaskofu haupo tena awamu hii?
 
Back
Top Bottom