Kardinali Pengo amkemea Lowassa

Kardinali Pengo amkemea Lowassa

10671391_722415024555344_4952775723772933631_n.jpg
 
Aeleze bank ya kanisa ya mkombozi imekuwaje kuwa pango la kufichia hela la mafisadi na wanyang'anyi?
 
Pepo tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
 
Kama ningalikuwepo ningelimuuliza Baba kardinali Pengo swali moja, hivi anataka sisi waumini tukajisafishe wapi? Kama si kanisani? Au anataka tukajisafishe kwa masangoma kama maCCM?
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Pengo kaongea lini (tarehe ngapi) haya maneno? Kama tukio la lowassa si nilisikia ilitokea muda mrefu na kama Pengo kaongea hivi juzi akimaanisha kukemea jambo la Lowassa basi Pengo atakua kakosea au kuna lingine lililomo ndani ya pengo kwa sababu kwa nini leo na isiwe kipindi hicho tukio limetokea? Au Lowasa hivi karibuni aliingia Kanisa Katoliki akaanza kupiga kampeni? Mbona siwaelewi elewi ebu mleta uzi nijuze Pengo ameyatamka lini hayo maneno?
 
Mwizi/fisadi/mla rushwa sio ndg yetu

MSUKULE Mkubwa Ww!! Hata Ukiulizwa Mahakamani Siku Utakayosimama Kizimbani, Wasilisha Utetezi Wako, Kuithibitishia Mahakama, Juu Ya TUHUMA Zako!! Utabaki Kutumbua Macho Tu!! Vijana Wekeni Akiba Ya Maneno Jmn!! Hawa Wanasiasa Tukipatwa Na MAJANGA, Wala Hawahusiki Kabisaa!! Balaa Linakuwa Kwa Familia ZETU Tu!!!
 
Ingawa mimi si Mkatoliki, Moderators huu ni Uzi wa kichochezi,(hakuna sehemu Pengo alipomtaja Lowassa au hata ku_imply) lakini uzi huu mnaulea! Umekaa hapa kwa zaidi ya masaa manne, ni dhahiri kuna jambo mnalolitafuta hapa!

Ni Biblia inayosema usimnenee vibaya mpakwa mafuta wa Bwana!

Hii dhambi itawaandama.
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
acha akemewe maana amekuwa kama pepo. Nami namkemea atubu ili amalizie uzee wake vizuri na asiikose Mbingu
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Inasemekana juzi kati kuna mgombea wa chama X alitoa bahasha imenona na ikapokewa kanisa Katoliki huko Songea mjini, Pengo anajua hilo?
 
taarifa za kichochezi. Wapi kamtaja lowasa.

kusoma magazeti ya chama kinachoamini katika Nyundo na Jembe Karne Ya 21 ni utovu wa nidhamu ya dhamira yako

Hivi wewe kwa hakiri yako unahisi Lowassa ni bora sana na anaweza kuleta mabadiliko yenye tija???
Mabadiliko yake nitofauti na mnayo hitaji nyie, yeye anamaani kuhama ccm ndo mabadiliko, sasa wewe nitakushangaa sana ukisema mabadiliko utayapata kwa lowassa na ndo maana haongei ni mabadiliko yapi
Fikilieni hata kidogo jaman
 
Nadhani ile ya walutheri kutokuongoza nchi aliisikia
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Too little!, too late!.

Ile siku nilipoupandisha uzi huu,
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 Ni John Pombe Magufuli.
[/h]nilisema kuna jambo nimelisikia kumhusu Magufuli, ila sikulisema jambo hilo kwa sababu, ila nilielezwa ni kwa nini mgombea wa CCM atakuwa ni Magufuli!. Information is power, mimi na baadhi ya watu tunajua ni kwa nini ni Magufuli!, na hata leo leo bado hatusemi sababu za kwa nini ni Magufuli!, lakini ikitokea Lowassa asiposhinda uchaguzi huu, inamaana Magufuli ndie atashinda, na hapo ndipo nitakithibitisha hicho nilichosikia, hivyo nitalikisema kile nilichokisikia ili Watanzania wote wasikie, tuelezane ukweli , hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani, huo ndio utabaki kuwa ukweli.

Pasco

attachment.php

Toka hapa MDINI wewe tupe na habari nyingine kwenye hilo gazeti
km macho huna unataka habari nyingine za nini?
marryan upo sahihi kabisa ingawa Pengo ni RC lakini Lowassa amezidi kujitanabaisha Ulutheri ili aonewe huruma
sasa hapo Lowassa sio Mdini kwa nini naye Magufuli asiutumie uaRC ambao ndio wengi hapa Nchini
ushahidi upokwenye Mabango hata na Misa za Kilutheri nyingi wameziahirisha Jumamosi na hata km ni Jumapili sasa zitakuwa ni moja tu ya alfajiri saa 12 hadi saa 1
Je Wasabato? Je Mabudha, je waislamu
 
Attachments

  • Lowassa Mlutheri.jpg
    Lowassa Mlutheri.jpg
    28 KB · Views: 441

Too little!, too late!.

Ile siku nilipoupandisha uzi huu,
[h=3]Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 Ni John Pombe Magufuli.
[/h]nilisema kuna jambo nimelisikia kumhusu Magufuli, ila sikulisema jambo hilo kwa sababu, ila nilielezwa ni kwa nini mgombea wa CCM atakuwa ni Magufuli!. Information is power, mimi na baadhi ya watu tunajua ni kwa nini ni Magufuli!, na hata leo leo bado hatusemi sababu za kwa nini ni Magufuli!, lakini ikitokea Lowassa asiposhinda uchaguzi huu, inamaana Magufuli ndie atashinda, na hapo ndipo nitakithibitisha hicho nilichosikia, hivyo nitalikisema kile nilichokisikia ili Watanzania wote wasikie, tuelezane ukweli , hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani, huo ndio utabaki kuwa ukweli.

Pasco

Mimi najua
Yahusu kurasini,Yohane na mkate.
Lazima awe wa namna hiyo.
Tuishie hapa
 
Back
Top Bottom