CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 566
Pitia gazeti la raia tanzania ukurasa wa saba na heading yenyewe inasomeka kana nilivyoandika
Sina shaka na uzi huu, na jkiangalia hakuna kukwepa hilo kwani kila kitu kipo wazi
ukisoma hayo magazeti uwe unajiongeza na wewe sio kukimbilia JF