Nimekupa source ya taarifa yangu
Nadhani ww ndiyo hujielewi, rejea gazeti la raia tanzaia la leo
mwadhama polycarp pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali pengo amesema "kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
Chanzo cha habari hii ni gazeti la raia tanzania(uk 7).
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"
Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.
CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Unaunga mkono lowassa kuomba kura kwa kutumia dini yake?