Kardinali Pengo amkemea Lowassa

Kardinali Pengo amkemea Lowassa

Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Mkuu hivi mzee Pengo hana account pale Mkombozi bank.
 
Too little!, too late!.

Ile siku nilipoupandisha uzi huu,
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 Ni John Pombe Magufuli.

nilisema kuna jambo nimelisikia kumhusu Magufuli, ila sikulisema jambo hilo kwa sababu, ila nilielezwa ni kwa nini mgombea wa CCM atakuwa ni Magufuli!. Information is power, mimi na baadhi ya watu tunajua ni kwa nini ni Magufuli!, na hata leo leo bado hatusemi sababu za kwa nini ni Magufuli!, lakini ikitokea Lowassa asiposhinda uchaguzi huu, inamaana Magufuli ndie atashinda, na hapo ndipo nitakithibitisha hicho nilichosikia, hivyo nitalikisema kile nilichokisikia ili Watanzania wote wasikie, tuelezane ukweli , hata kama ukweli huo ni mchungu kiasi gani, huo ndio utabaki kuwa ukweli.

Pasco

Wewe ni moja ya watu msiotakiwa kabisa kwenye jamii. Yaani kama ni madhara unasubiri yatokee kwanza ndo useme?
 
marryan lowassa hajawahi kwenda kanisa katoliki..kwa hiyo hilo kemeo sio la kwake. kemeo hilo ni la ccm kwani wanaenda makanisani kujaribu kuwarubuni waumini na walei wao.
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Sidhani kama Kardinali amesema hivyo. Haya yanaweza kuwa maneno ya gazeti la RAIA TANZANIA kutokana na msimamo hasi walio nao kwa Lowassa.
Kanisa ni mahali pa kujisafisha. Maandiko matakatifu yanasema Yesu alikuja duniani kuwafuata wadhambi ili waokoke.
 
Kwani pengo ndio nani bwanaaaa?! Asituzingue na yeye aendelee kulisha wanakondoo aachane na ya kaisari
 
Usimpakazie Kadinali Pengo matope. Ni mtu makini na hawezi kutumika kama unavyotaka kuuambia umma!!!
 
OMG!
Mleta uzi na wewe bhana,umeshindwaje kuchanganya na zako ilihali unajua kuwa ni AKILI ZA KUAMBIWA!.
Vp kwenye ukurasa uliofuata,waligusia MAASKOFU waliopata mgao wa ESCROW?.
 
Moderators huyu mtoa uzi bado mnamuangalia tu? Amenukuu alichosema Pengo vizuri na kuongezea ya kwake ambayo ni uchochezi wa kidini. Piga ban huyu
 
na Pinda aliombea nini msamaha kanisani kama kupigwa walipigwa wananchi kwa matamshi alotoa bungeni...si arudi kule akaombe msamaha?
 
Mimi najua
Yahusu kurasini,Yohane na mkate.
Lazima awe wa namna hiyo.
Tuishie hapa
12046573_916397881729548_6242467594441882443_n.jpg
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
Pengo mnafiki
 
Lowasa ametajwa wapi kwenye hayo maneno
 
Kwa nini watu wanapenda kulitukana kanisa katoliki?
 
Back
Top Bottom