Kardinali Pengo amkemea Lowassa

Kardinali Pengo amkemea Lowassa

marryan

Senior Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
108
Reaction score
37
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).
 
taarifa za kichochezi. Wapi kamtaja lowasa.

kusoma magazeti ya chama kinachoamini katika Nyundo na Jembe Karne Ya 21 ni utovu wa nidhamu ya dhamira yako
 
Usilete uduni hapa ni wachungaji wao kuingilia mambo ya siasa. MF: Gwajima.
 
Umeandika upuuzi wewe zi zinga la CHOCHEZI LINALOTAKA KUTUGAWA KWA UDINI
 
Nimekupa source ya taarifa yangu
Nadhani ww ndiyo hujielewi, rejea gazeti la raia tanzaia la leo
 
taarifa za kichochezi. Wapi kamtaja lowasa.

kusoma magazeti ya chama kinachoamiki katika Nyundo na Jembe Karne Ya 21 ni utovu wa nidhamu ya dhamira yako

Pitia gazeti la raia tanzania ukurasa wa saba na heading yenyewe inasomeka kana nilivyoandika
Sina shaka na uzi huu, na jkiangalia hakuna kukwepa hilo kwani kila kitu kipo wazi
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

"Wewe Marryan, sijui umekula maharagwe ya wapi, unaongea kama umelewalewa, umevaa pampas wewe....saa ya ufufuo na uzima ni sasa" - adapted from Askofu Gwajima
 
Mwadhama Polycarp Pengoamesema kanisa si mahali pa kujisafisha, Pengo amesema kanisa halipaswi kugeuzwa mahala pa kujisafisha na kujijenga kisiasa. Kardinali Pengo amesema "Kwa namna yoyote kanisa katoliki halipaswi kuwa uaja wa siasa na wanasiasa wana kwao, wafanye shughuli zao huko uko"

Ameendelea kusema "siyo mu anashindwa kujielezea katika ulingo wa siasa aakuja kkujielezea katika ulingo wa kanisa na kuanza kujinadi na ya vitu vingine na kama hatutalinda mfumo wa kanisa kuna athari zinaweza kujitokeza.

CHANZO CHA HABARI HII NI GAZETI LA RAIA TANZANIA(UK 7).

Wewe MBWAI NINI? SASA KANISA NI MAHALI PAKUFANYA NINI? KANISANI NI MAHALI PAKUTUBU NA KUJISAFISHA HUKU UKIMRUDIA MUNGU! NAONA WEWE MLETA MADA NI MFIKIRIWAJI NA MSENGENYAJI MKUBWA SANA, MBAVU ZAKO WEWE
 
kanisa ni sehemu ya kusafisha pesa za ESCROW.

Maajabu, pesa chafu kusafishwa kanisani ni rukrsa mbele za Mungu lakini mtu kujisafisha Mungu hataki. Huyu naona ni mungu wa ccm ila Mungu wa kweli ametuonesha Lowassa na kesho tunampa kura zetu.
 
Back
Top Bottom