Karamu ya mwisho na majigambo ya mtandao

kumbukumbu yangu wakati wa awamu ya 2 mwinyi ilikuwa hivi hivi na hali ilifikia mpaka nafikiri mke wake alishikwa airport na Mrema (rip) na drugs na wahindi na waarabu ndiyo walishika nchi, mpaka Nyerere alisema Ikulu ni mahali patakatifu kwa maana walikuwa (wahindi na warabu) wakipashana ikulu kama gesti kwenye mipira ndiyo usiseme na akina gulamali, awamu ya 4 same shit, na sasa hivi ndiyo hivyo mnajionea wenyewe kinachoendelea kwenye nchi yetu, kule zanzibar wameuza karibia kisiwa chote beach plots zote wameuzia foreigners hao wanzanzibari wa chini masikini na weusi hawana chao na hamna kitu, hivyo tatizo ni uislamu wa tanzagiza, kwani awamu zao zote mambo ni yale yale ...
 
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi

1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha

2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina

3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana

4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!

5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)

6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..

7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.
Acha watu waponde mali
 
Hilo tukio litajibu maswali na kutegua vitendawili vingi kwa mambo mengi yaliyopita na yatakayofuata.

Maana sijui kama wachangiaji watakuwa smart kiasi hicho. Otherwise iwe ni kazi ya sanaa ya maigizo tuu.
 
IMG-20250814-WA0039.jpg
 
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi

1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha

2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina

3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana

4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!

5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)

6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..

7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.
Kumbukizi: ... pale IKULU sio pango la walanguzi ! Isikubalike
 
Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.

NA WOTE TUSEME AMINA.
 
Tarehe 12.8.2025 itaingia kwenye kumbukumbu za Tanganyika kwa mambo mengi

1. Majigambo ya nguvu ya mtandao kwamba wana watu wazito na wana ukwasi wa kutosha

2. Ithibati kamili kwamba chama kimetekwa na kundi maslahi linalojumuisha wevi, mafisadi, ma tycoon wa rushwa, watakatishaji pesa na mtandao unaoamua hatima ya Tanganyika huku kundi asili likibezwa na kupigwa vijembe vya kila aina

3. Kwamba uchaguzi umeshakwisha na hiyo ilikuwa hafla ya kupongezana

4. Watanganyika wasiojitambua waliobebwa kwenye mtumbwi wa vibengwo.. Walikuwa kenge kwenye msafara wa mamba! Kuna mmoja ahadi yake ikatajwa ya 5M kutoka Simiyu alimaindi vibaya sana..!

5. Chukizo jipya kwa walalahoi wanaokishabikia chama kinachoendeshwa na tabaka fulani.. Hilo ndio linakula mema ya Tanganyika (keki ya Tanganyika)

6. Sifa, ubabe, show offs, kejeli za waalikwa..

7. Kilichoitwa harambee ni KARAMU YA MWISHO kwa chama! hakitakaa kifanye tukio kama hili tena maana limekuwa chukizo na dhihaka kubwa mbele za macho ya Mungu na Watanganyika pia.. Huu ndio mwisho na hakuna mwisho mwingine zaidi ya huu.
Ameni !
 
Tone tone mnaiona iko sawa, ila harambee ya CCM ndio haiko sawa? Tone tone unamuweka Lemma ambaye ana tuhuma za wizi wa magari Arusha?
Huna hata haya! Chama kinachojiita cha wakulima na wafanyakazi. Pale palikuwa na mkulima au mfanyakazi ?
Harbinder thesi alienda kama nani?
Uwe na aibu basi
 
Back
Top Bottom