Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,999
- 1,187
Kwa mwendelezo huu hata mimi naanza kuhisi kuwa kuna mtu ambaye anamfix Kapuya. Sidhani kama Kapuya ni -------- kiasi cha kufanya hivi baada ya yote yaliyoandikwaSasa naamini Kapuya anaonewa!!!!
Kaogonjwa hako sio kazuri, lazima kaharibu akili
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Kb52 Matusi hapa si mahala pake, halafu andika kinachoeleweka, bana bana bana ndiyo nini? vilevile source nimeweka pale inaonyesha hujasoma thread la sivyo ungeomba ilifungie gazeti tajwa na mimi kupigwa ban
Kapuya kama kweli unaoutu Watanzania wanao utu zaidi wapo tayari kukusamehe na mambo yakaendelea kama kawaida.
Ushauri wangu ni huu, itisha mkutano na vyombo vya habari pale Habari na Maelezo, usijitetee bali omba msamaha kwamba kweli ulikiuka MAADILI YA UONGOZI hivyo ungependa WATANZANIA WAKUSAMEHE. Huwezi amini utasamehewa hapo hapo, hakuna atakaye kuwa na dharau kwako kuanzia pale MAELEZO.
Believe me![/QUOT
Na pia pande zote ziwepo, binti na yeye. Mpaka Sasa jamii haijui imwelewe yupi
Mtu mzima kama Kapuya hawezi kufanya ujinga wa kuandika sms hizo. Anaufahamu wa kutosha ni msomi, ngoja kwanza anyamaze mpk chanzo cha hao wanaoingia kwenye namba yake wagundulike nawewe usie jua lolote upate ufahamu. Huwezi kumtukana mtu kwa njia ya mtandao usitiwe hatiani kwa sababu ni ushahidi yeye Kapuya halijui. Ina maana kwa mawazo yako Mh. Lema picha zile niza kweli. Kuna picha ya Rais na Mtoto wa Mkulima ilitangazwa sana macheckbob ilikuwa kweli aombe msamaha kama si kweli aombe vp chukua hatua badilika
Familia ya mzee huyu wadhibiti sana mienendo yake tangu sasa!...vinginevyo anaweza 'kusepa' kama alivyosema mwenyewe!
Majuto ni mjukuu!
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Namba za mbunge yeyote si siri zpo kwenye webste ya bunge mstumie namba ya kapuya kumchafua
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Mkuu inakuingia akili kweli kuwa mpaka dk hii prof kapuya bado anatuma sms za vitisho kwa huyo mtoto na akitumia no yake ya simu?Weka ushahidi