Kapuya; Nihurumieni jamani

Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:

Mzee mzima!!!!!!!!!!!! kwanini afanye ngono na katoto ka miaka 14, age is just number of years. So akili yake sawa kabisa na huyo binti, hata lugha zao za lika moja, sasa unashangaa nini.
 
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:
Mzee mzima! wewe ndiyo unaona hivyo,mzee mzima asingefanya hayo aliyo fanya,hivyo amini anaweza kuandika hivyo alivyoandika pia.
 
Kapuya anaweza akaandika upuuzi kama huu?Tanzania Daima acheni kutumiwa na Six
 
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:

Kapuya ni mhuni kama wewe au tukuletee tena ile picha anayoonysha akipapasa m.a.v.u.zi. Data zake watu wanazo huyu mhuni
 
Huu upuuzi sasa.. hata kama kapuya ni kiazi kiasi gani hawezi kurudia kufanya makosa yale yale ya kuandika sms za kipuuzi namna hiyo...
 
Siamini kama profesa anaweza kutuma utumbo huo kwenye simu. Hapa kuna mchezo mchafu. Msitake kutuchezea akili zetu. Hizi ni habari za kutunga.
 
wasiwasi wangu ni source hihi tu kwanini ,ngoja tusubili mwisho wa sinema hii,
 

mengine wanamsingizia itakua.Profu kabisa akae chini anaandika sms..!! hainingii akilini....
 

mi nafikiri tuache sheria ifuate sheria
kwani ikiwa kweli kaufanya ujinga ule atashindwa vipi kuandika meseji kimeo kama hiyo
 
Kapuya ajatulia kiakili huyu anaweza akapotea inabidi awekwe chini ya uangalizi maalum.

Nami nashangaa. Inakuwaje Kapuya anaendelea kutuma meseji za kumtia hatiani wakati ameshatambua kuwa meseji zake zote zinanaswa na kusambazwa? Je ni Kapuya kweli au kuna mchezo!!! Kama ni Kapuya, basi amefikia stage mbaya sana na anatakiwa awekwe chini ya uangalizi wa daktari wa mental case. Je Kapuya hana rafiki au hata ndugu wa karibu wa kumshauri hatua za busara za kufuata kumaliza suala hili? Ukweli, kama binadamu yeyote ambae anaweza kufanya kosa, ninamhurumia sana kwa kuendelea kujeruhiwa kisaikolojia. Majeraha ya kisaikolojia ni mabaya kuliko majeraha mengine yeyote isipokuwa majeraha ya UKIMWI.
 
 
Hzo sms haziwez kuandikwa na kapuya ila hyo namba ndo inafunga. Hebu weka habari yote hapa tuidadavue vizuri.
 
Siko upande wowote hapa maana sijui nin cha kuamini,ila kwa hapa naanza kuhisi kuna mchezo mchafu...
Inawezekana ndio Kapuya alifanya vile,lakini baada ya kuvuja katika mitandao sidhan kama andeweza tena kumtumia sms kama hizo huyo binti na kama kweli kafanya ivo basi elimu yake haijamsaidia
 
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:

Kwani wewe unaona Kapuya sio muhuni? Angalia ile picha anacheza muziki na kile kitoto Disco vumbi na mkono wa kushoto kauingiza wapi kushika nini?mtu ambaye sio muhuni hawezi kufanya hivyo.
Alhaji pengine kaharinikia huko Akudo anakokwenda kila siku. SMS hiyo yaweza kuwa sii yake BALI PIA YAWEZA KUWA YAKE. Dalili za uhuni wake tumeshaziona tayari.
 
Kapuya amelikoroga lazima alinywe. utetezi wake na wapambe wake unapishana sana;
1. Awali alidai hamjui mtu huyo!...kama Petro alivyokana kumjua Yesu Kristo ili hali anamjua vilivyo hata sauti na mwendo wake ulijionyesha kuwa ni Mwanafunzi wa Yesu...jambo zuri ni kwamba Petro alitubu na alisamehewa.
2. Kapuya amedai hiyo namaba ya mawasiliano inayotajwa aliishaigwa miezi 6 iliyopita ...suala ambalo limethibitika kuwa ni kinyume cha sheria za nchi hivyo anastahili kuchukuliwa hatua za kisheria mara moja...pia uchunguzi unatakiwa wa aliyempa hiyo simu pamoja na laini yake lengo lake lilikuwa nini? je hakukuwa na nia yote ovu kwa lengo la kupoteza ushahidi?
3.Watetezi wake aliowatuma huku jf na kwenye magazeti ya udaku wamefarakana wao kwa wao. wapo waosema kapuya alifanya mapenzi na huyo binti kwa hiari hivyo hakubaka...wapo wanaodai huyo binti ni tapeli, nk.
4. Kapuya anakiri kuwa amewahi kumsaidia ada huyo binti ili asome chuo kikuu...amesahau kwamba awali alisema "Simjui mtu huyu"
5. Nguvu kubwa inayotumika na Global publishers, baadhi ya wachangiaji jf na blogs mbalimbali zinaashiria mpango kabambe wa kumnusuru Prof.Kapuya na kadhia hii.... je watafanikiwa?...sidhani kama watafanikiwa... uongo mara nyingi hujitenga mbali na ukweli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…