Kapteni Tesha na vita ya Majimaji

Kapteni Tesha na vita ya Majimaji

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,169
Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha.

Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale.

Hii haina tofauti na Kinjekitile Ngwale alipowahamasisha askari wake na wananchi kuwa wajitokeze kwa wingi kwenda kupigana na wajerumani kwakuwa risasi za adui zitageuka maji kabla hazijatua kwenye miili yao.

Ukweli ni kwamba risasi za wajerumani hazikugeuka maji hata kidogo.

Ukweli ni kwamba jeshi la JWTZ halikuwa nyuma ya wajinga wale na waandamaji wengi walikiona.

View: https://youtube.com/shorts/SOC50V3Ar1Q?si=Bo1TmY9Jh_XGX-uZ
 
Niliwaambia lakini mkaniita CHAWA .

Always , I vowed myself I will not play someone's game , I learn to survive my instincts and not trend
Katika karine hii ya sayansi na technology unatumia mbinu za 1905 kutatua changamoto za sasa. Mnasababisha watoto wa wenzenu wanauliwa kipumbavu huku mkijua kuwa mnawadanganya na askari feki wa JWTZ. Mbaya zaidi mnawatumia watoto wa wengine kufanikisha malengo yenu wakati watoto wenu wako sehemu salama.
 
Absolute is okay , you know what a lot of Motherfuckers wants to start marathon at the finishing line
 
Katika karine hii ya sayansi na technology unatumia mbinu za 1905 kutatua changamoto za sasa. Mnasababisha watoto wa wenzenu wanauliwa kipumbavu huku mkijua kuwa mnawadanganya na askari feki wa JWTZ. Mbaya zaidi mnawatumia watoto wa wengine kufanikisha malengo yenu wakati watoto wenu wako sehemu salama.
Kwa nini watoto wauliwe kipumbavu? Kwa nini muwauwe? Anayeua kwa nini awaue? Wewe ni mjinga kupindukia.
 
Jw walikuwa pamoja na wananchi muda mwingi mpka walipokuja sepa na kuwaacha wakaliwa vichwa ovyo
 
Bila JWTZ kusingekua na Maandamano.
Wao ndio walikua catalysts ya Maandamano sehemu nyingi
toa ushahidi. Watu walianza kwa vurugu na uharibifu na sio kwa maandamano yenye mabango, bendera wala matawi ya miti. Hatukuona ujumbe wala kiongozi wa msafara. Vijana walivyo maboya walidhani JWTZ wako nao pamoja, lakini thubutuuuu!! walikula za vichwa. Nakwambia itachukua miaka 60 kuwadanganya tena vijana kwenda barabarani kiboya kama vile. Kudhibitisha hilo hebu angalia namna vijana walivyosafiri kwa makundi kuondoka Dar kuelekea Decemba 9, na ukimya uliojitokeza siku ya decemba 9. Chadema imejizika yenyewe kwenye kaburi la halaiki.
 
Jw walikuwa pamoja na wananchi muda mwingi mpka walipokuja sepa na kuwaacha wakaliwa vichwa ovyo

Mimi nilikuwa DSM na usiku wa tareh 30 nilipokea simu kuwa mwisho kutembea Saatano Asubuhi na ndo niliamini hii ilikuwa zaidi ya majimaji war

Vijana wa Tanzania bado wajinga kiukweli

Tesha aliletwa kimkakati na wajanja ili kutengeneza imani ya Maji maji war.
 
Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha.

Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale.

Hii haina tofauti na Kinjekitile Ngwale alipowahamasisha askari wake na wananchi kuwa wajitokeze kwa wingi kwenda kupigana na wajerumani kwakuwa risasi za adui zitageuka maji kabla hazijatua kwenye miili yao.

Ukweli ni kwamba risasi za wajerumani hazikugeuka maji hata kidogo.

Ukweli ni kwamba jeshi la JWTZ halikuwa nyuma ya wajinga wale na waandamaji wengi walikiona.

View: https://youtube.com/shorts/SOC50V3Ar1Q?si=Bo1TmY9Jh_XGX-uZ

Ukweli ni kwamba jeshi la Tanzania lipo nyuma ya utekaji,mauaji, uchaguzi feki,ukosefu wa maji Dar es Salaam ,darasa moja kuwa na wanafunzi 100+,umeme wa kusuasua,ufisadi na kumpiga Tundu Lissu risasi!
 
Kwa nini watoto wauliwe kipumbavu? Kwa nini muwauwe? Anayeua kwa nini awaue? Wewe ni mjinga kupindukia.
Walikufa kwasababu ya ile kanuni ya force ya Newton ya equal action and reaction forces in opposite directions. Nguvu iliyotumika kuwadhibiti wahalibu wasiendelee kuharibu ni sawa na nguvu waliyoitumia waharibifu katika kuharibu mali zetu.

Yaani kijana kavuta msuba wake na kuanza kuvunjavunja ofisi zetu za serikali za mitaala, vituo vyetu vya polisi vinavyotulinda dhidi ya majambazi na uhalifu mwingine, kuchoma vituo vyetu vya mwendokasi usafiri wetu sisi walalahoi, kuchoma sheli ambazo sisi vijana tumepata ajira humo. Kuwaua vijana wachache kama hawa kwa manufaa ya watu 65m sioni ni makosa. Hata mm ningekuwa na silaha ni lazima ungeitumia tu.

Kifupi hawa vijana hata katiba hawajawahi kuiona, hivyo sio kweli waliandamana kwaajili ya kudai haki. Kila mtu aliyetekwa alistahili kutekwa kutokana na kosa alilotenda (kuhatarisha usalama wa nchi, au kutembea na mke wa mtu, au kudhulumu mali ya mtu). Na wakati mwingine kuna watu wanateka watu ili hatimaye waende CNN, BBC, DW, EU ili kusema hebu ona serikali ya tz inateka watu. Yaani mtu anatekwa na vyombo vya habari vya magharibi vimeandaliwa hapohapo kumulika na kurusha tukio hapohapo na kusema "the world is watching". Their aim is to name the dog a bad name so that they can justify its killing.

Tunawajua alooo.
 
Back
Top Bottom