Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

Kapten John Komba: Lowassa anafaa kuwa Rais 2015

Akiwa katika kipindi cha mkasi cha eatv mh. Kapt Komba amesema roho yake itakuwa kwatu iwapo ccm itamteua Lowasa kupeperusha bendera ya chama chake 2015. Jf karibuni kutoa maoni. Msitukane tafadhali.
 
Akihojiwa na Salama Jabri kwenye kipindi cha "Mikasi" Mwimbaji wa Maarufu wa CCM na Kiongozi wa TOT amesema kwa maoni yake binafsi Mwaka 2015 anayefaa kuwa Rais wa Tanzania ni Edward Lowassa.

CC Pasco

Hahahahahha...my ribs! Hivi alikua amelewa? Huyu jamaa kama vile he is not serious at all
 
Last edited by a moderator:
Mawazo yake,kila mtu anamtazamo wake ndiyo maana mbowe na slaa wameamua kula hela za ruzuku.
 
Njaa zitamuua.Kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?

Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?

Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?
Wewe bora hata ukae kimywa kijana mdogo huna utu hata chembe.
 
Kweli Lowasa ana mtandao mkubwa sana,kwa wataalam wa kusoma between lines,hilo swali la nani unadhani anafaa kuwa raisi lilikuwa la mtego sana!!Binafsi sikutegemea kabisa kuwa angelijibu vile!Kwa uelewa wangu mdogo unaposema ''Lowasa ndo anafaa kuwa raisi hii ina maana hata raisi aliyepo kwa kumlinganisha na Lowasa,Lowasa ndiye anafaa!
Kwa mtu mwenye uelewa mkubwa kama Komba kauli hiyo inazua maswali mengi sana:
1:Ina maana hana imani na raisi wetu aliyepo?
2😛amoja na tuhuma mbalimbali za Lowasa, Komba akiwa mjumbe wa NEC je anataka kuwaambia Watanzania kuwa tuhuma hizo ni Uzandiki na ufitini?
3;Je hiyo kauli yake sio kupiga kampeni wakati muda wa kufanya hivyo bado?

CCM kweli kinaelekea kufa maana hawataweza kutimiza ahadi waliyowaahidi Watanzania ya kujivua magamba!Kama kiongozi mkubwa kama Komba anadiriki kusema kwenye tv kwamba Lowasa ndiye anafaa basi umma husitegemee chochote,makundi ndani ya chama ndiyo kaburi la CCM
 
Njaa zitamuua.Kwa hiyo amekua mgombea anayeungwa mkono na wabakaji wa mabinti wadogo,mafisadi,wezi,wanafiki,wauza unga na walevi?

Badala ya kujadili sera na ilani bora kuelekea 2015 anajadili pua za watu?

Captain gani asiyejua kufikiri sawa sawa?

Inaa mana ben tokea umejoin jf 2007 kila kitu ubishi tu,je kwa tathimini ya wengi unazungumziaje swala la lowassa kukubalika kwa walio wengi? Bila matusi wala kejeli
 
Back
Top Bottom