Kapimwe akili kama unawaamini UKAWA

Kapimwe akili kama unawaamini UKAWA

Peter Dafi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
394
Reaction score
272
# KAPIMWE AKILI...#

1. Kama wewe ni kijana na una nguvu za kutosha ila kila cku unailalamikia serikali kuwa ajira hakuna, kapimwe akili.

2. Kama wewe ni mwanachuo na huna strategies zozote za maisha kabla ya kumaliza chuo, kapimwe akil.

3. Kama wewe ni mwanaume na una miaka 28 na hujui
utaoa lini, bado unashindana na mdogo wako wa chuo kudate wasichana kibao na bado umepanga, wewe nenda kapimwe akili.

4. Kama wewe ni msichana miaka 25 na bado
hela ya kusuka unaomba kwa Wazazi na vibwana vyako, kapimwe akili.

5. Kama wewe ni mwanaume miaka 24 na zaidi na
unavaa mlege, kapimwe Medula Oblongata.

6. Kama wewe unamiliki simu (smartphones) zaidi ya moja na hujaajiriwa bado ila kila siku unalalamika huna mtaji, ila ukiamka saa kumi na moja unaingia whatsaap, facebook au insta kusoma udaku, wewe hata usipoenda waambie waje kukupimia akili nyumbani.

7. Kama ww 24/7 umekalia kuchat badala ya kufanya kazi za maendelea, ubongo wako umepinda kapimwe akili.

8. Kama wewe ni mdada una miaka zaid ya 27 umepangishiwa chumba na mume wa mtu mjini alafu jamaa familia na ndoa yake inayumba na bado umekomaa kumchuna na pembeni una vibwana vingine vya kukava nafasi mshkaj akishakua majalala, Kapimwe akili, na baada ya vipimo wakung'oe moyo.

9. Kama wewe ni mvulana na mvua ikinyesha cha kwanza unachokumbuka ni namba ya demu wako muende mkazini kisa baridi badala ya kuwapigia ndugu zako wanaokaa jangwani, nenda kapimwe ubongo .

10. Kama wewe umejiunga kwenye mi group kibao laini kila cku huchangii mada hata moja wala salamu, kapimwe akili pia left tu ili tujue hatupo na wewe

����������������

# Panua mawazo yako, UKAWA ndio Mdudu Gani Unaliwa nakuchezewa Akili Kijana wa Kitanzania.

ACHA NA EPUKO MICHEPUKO, BAKI NJIA KUU.
CCM ��YATOSHA.
 

Attachments

  • 1431884714959.jpg
    1431884714959.jpg
    8.5 KB · Views: 1,928
Peter Dafi, onesha vyeti vyako vya akili kwanza kabla hujaomba wengine wakapime akili. Kwa miaka 50 ya CCM na Umasikini huu, wewe kushabikia CCM ni lazima akili zako ni taahira huhitaji kupima mkuu
Kwani wakati wa Ukoloni Tanzania tulikuwa nchi ya ngapi kwa utajiri?
 
Unahitaji kufanyiwa upasuaji wa ubongo ... UFISADI, UJANGILI, MIKATABA FEKI, WIZI WA KURA, KUSHUKA KWA THAMANI YA SHILINGI, MFUMUKO WA BEI, MAISHA MAGUMU ...

Bado unang'ang'ania CCM?
 
We ndo unatakiwa ukapimwe kwa kutowaamini UKAWA. Unatakiwa siku moja uumwe goti uende muhimbili badala ya kukupasua goti, wakupasue kichwa wakupime akili kwa kuendelea kuiamini CCM baada ya kudanganywa miaka zaidi ya 50. Kapimwe akili.
 
mie wanasiasa wote bila kujali chama nawaona vilaza tu pamoja na wanaowaamini..
 
Huyo usishangae kesho maGAMBA wakampa uDC manake hiyo ndio mitaji yao.
 
nilivosoma mpaka katikati nikata kukoment kwa kupiga saluti ila umeharib hapo kwenye kijani tu mpaka najuta kwanin nilifungua hi thread
 
Amedata huyu gamba mhurumieni tu! njaa aliyonayo ni kali imehama tumboni na kuhamia ubongoni
 
Kwa kijan wa ckuhizi na Karne hii kuishabikia CCM HUYO kapimwe ubongo tena ubongo wa kutunza kumbukumbu utakuwa na virus kafute1 hebu sikiliz hoja za mkosamali juzi bungeni
 
Back
Top Bottom