Kapewa ujauzito na wengine, fujo ananiletea mimi

Mkuu demu humjui unakula peku???
Unaweza kukataa mimba, vp ngoma???
 
We mtoto mdogo sana hujapevuka bado, kama umeona ni matusi kwanini na wewe utukane?. Uko frastulated sana, km unawaamini kaa mbali na mimi.

The level of ur foolishness is beyond my imagination! nilijua ulipitiwa kumbe sivyo! Wewe ndio upo frustrated na huyo kiokote mwenzio hadi unatukana wanawake forgetting u hv a mother and sisters who are women! Arrange urself u fool..Grow up and talk like a man!
 
duuuuuuuh PUMBAVU WANAWAKE,,,hii inamaanisha pumbavu dada zako wa ukoo mzima,shemeji zako wote wa kike,mama yako mzazi,mama wakubwa na wadogo,mkeo kama unae,shangazi zako,bibi zako,walimu wote wa kike waliokufundisha,,,ama kweli kijana huna nidhamu
 

Samahani mkuu wakati unato..... ulikuwa unatom.... kichunguu au mtu?
 
duh aisee chalii we nouma nimekuvulia kofia aiseee..... chaliii wiki mbili unakula kavu tena unakojolea humo humo .. kudadeki lea ili siku nyingine usione kama mangi anafaidi sana au anapata faida kubwa kuuza condom
 
Mchukue mwanamke wako mlee mimba,
Hbr kua ulimkuta anajiuza c kweli, usikimbie majukumu pia jua mimba huingia kwa bao moja, haijalish mmejuana leo wala miaka kumi nyuma.
 

Ukisema "Pumbavu Wanawake" una maanisha na aliyekuzaa
 
wiki mbili ni nyingi sana kuingia mimba...............labda km ulitumia ndom
 
watu bwana.... kukondomize hamtaki af mkiambiwa mimba mnarukaaaa. utavuna ulichopanda. lea mimba acha kulia lia
 
Mkuu nahisi kabisa huyo dem ashakuingiza grid ya taifa ukipima umeme usisahau kutuletea mrejesho
 
Sekunde tu yatosha kumpa mwanamke mimba we unashangaa wiki mbili.
 
duh aisee chalii we nouma nimekuvulia kofia aiseee..... chaliii wiki mbili unakula kavu tena unakojolea humo humo .. kudadeki lea ili siku nyingine usione kama mangi anafaidi sana au anapata faida kubwa kuuza condom
sasa kama kondom zimeisha na dukan kwa bwana Mangi mbali.nitafanya nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…