Kapenda nisipopenda

Kapenda nisipopenda

Kamanda ndio nilikuwa nakutomeza wewe ili ulete majibu, lakini inaonekana umestuka! acha tumsubirie aspirin yule ndio huwa mara nyingi anaingia kichwa kichwa bila hodi.
usiku mwema kamanda mimi na Hus tunahitaji kupumzika adios.
 
Kamanda ndio nilikuwa nakutomeza wewe ili ulete majibu, lakini inaonekana umestuka! acha tumsubirie aspirin yule ndio huwa mara nyingi anaingia kichwa kichwa bila hodi.
<br />
<br /> Dah..... Ile collective responsibility ya vitoa tiba naona siku hizi haizingatiwi. Ndo mpango gani huu wa kuvujisha siri za baraza la vidonge? Ntakushtaki kwa PAW. Afu hii sredi mbona mmeichakachua hivi? Au kwa kuwa si ya mbu?
 
Mi mwenyewe nishaacha utani na ma-veteran,wanang'ang'ana hao!afu hata ukimtafutia kosa umpige chini halipatikani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom