Kapenda nisipopenda

nakuonea huruma kamanda angalia location ya spanish lady imebadilika kuwa bongo darisalama hahaha! kajaa tele hapa home pita jioni ya kesho unywe chai ya tangawizi/hiliki/dalasini lol!

tatizo lako unakata tamaa mapema mi nilikaa Mpwapwa mpaka nikarudi nae bongo.

Sitarajii upungufu wa hilo sweety.

Dah! imekula kwangu aisee! acha nibadilishe lifestyle nianze kuhubiri neno la Mungu.
 
Dah! imekula kwangu aisee! acha nibadilishe lifestyle nianze kuhubiri neno la Mungu.
fungua kanisa kabisa uwe bilionea mkuu.

watu wanaogopa kujiexpress, akija kutahamaki kifaa kishabebwa.
Kuna tetesi huyu jirani yetu hapa chini ni domo zege.
Usitumie hilo neno 'kujiexpress' vichwa maji watalitafsiri kivingine hahaha! kloro domo zege ? hivi rafiki yangu kakukosea nini wajameni.
 
sio domo zege tu, ni selebriti wa madomo zege, ndio namalizia kadiploma ka kutongoza bana! mbona mna halaka?
 
sasa mbona huku PM unaniambia ushakiona kifaa kamanda? Dah! kamanda bana!
Mkuu kaa mbali na hawa wageni Radhia anaweza kuwa Rashid ikala kwako afadhali Hus tuna uhakika ni totoz la nguvu,we angalia kama huyu muanzisha thread anaitwa james winner kuna Mtanzagiza ana jina la hivyo kweli ?
 
Kamanda ndio nilikuwa nakutomeza wewe ili ulete majibu, lakini inaonekana umestuka! acha tumsubirie aspirin yule ndio huwa mara nyingi anaingia kichwa kichwa bila hodi.
 
Back
Top Bottom