Kapeleka kila kitu kwao!! Je hii ni sawa?

Kapeleka kila kitu kwao!! Je hii ni sawa?

Habari wana JF,
Nimefunga ndoa na binti mmoja, baada ya kuwa nae kwenye mahusiano ya muda mrefu na kujaliwa mtoto mmoja nikaona ni vyema kuvuta jiko karibu ili tulee mwanetu na mambo mengine yaendelee. Baada ya harusi yetu ; nikamuuliza vipi kuhusu kuhamisha vitu vyako vilivyopo mkoani alipokua akifanya kazi?

Jibu nililoambulia: "nimevipeleka nyumbani kwetu"

Sasa naombeni msaada wenu, hii ni halali au nikavichukue huko kwao?

Acha ' Ubwege Nazi ' Wewe na kutusumbua Great Thinkers humu ambao sasa hivi ' tunamuomboleza ' Akwilina. Kwani ulioa kwa ajili ya Mbunye yake tu au ulioa Mbunye yake pamoja hivyo vitu vyake alivyovipeleka Kwao alivyovipata kabla ya kukutana nawe? Mijitu mingine bhana! Mswahili Mswahili tu.
 
Kwani hivyo vitu ulimnunulia wewe? Au ulichangia baadhi yagharama mpaka vikapatikana? Kama jibu nihapana basi yawezekana huyo mkeo kakuheshimu sana na ndiomana hataki utumie vitu alivyonunuliwa namwanaume mwenzio yaani kitanda kilekile nagodoro lilelile alilokuwa akikunjiwa namwanaume mwingine nawewe unataka uendelee kumkunjia hapohapo aiseee
 
Ufai kuitwa mume bado unadai vitu vyake viletwe kwako !!! Kilaza kweli
 
Habari wana JF,
Nimefunga ndoa na binti mmoja, baada ya kuwa nae kwenye mahusiano ya muda mrefu na kujaliwa mtoto mmoja nikaona ni vyema kuvuta jiko karibu ili tulee mwanetu na mambo mengine yaendelee. Baada ya harusi yetu ; nikamuuliza vipi kuhusu kuhamisha vitu vyako vilivyopo mkoani alipokua akifanya kazi?

Jibu nililoambulia: "nimevipeleka nyumbani kwetu"

Sasa naombeni msaada wenu, hii ni halali au nikavichukue huko kwao?
Vipi ulimuoa huyo binti ili upate hivyo vitu.pambana ununue vitu vyako aise usitegemee vitu vya mwanamke
 
Ha ha ha hii ngumu kumeza ila wife wako nae angebeba hata vichache sio lazima vyote aje navyo vile muhimu sana hapo kwenu..Pole mkuu huyo ni chaguo lakooooo...mbinafsi
 
Siku moja nilikuwa mahala napata chakula cha mchana. Wakaja vijana 3 hawa ni workmates... Basi wakaja kukaa meza moja nami.

Nilichojifunza mmoja wao alikuwa anaoa in 2 weeks time. Stories zikaendelea pale weeee.... Jamaa anayeoa anawaambia wenzake wa ofisini..... Naombeni sana msiniletee zawadi za laki 2 .... Sitaki kabisa kuona mnaleta zawadi aina ya Water Dispenser.... !! Aliwatishia kuwa atairudisha. Jamaa alitaka zawadi ya angalau kiwanja.... somethings of that nature...!!

Nilicheka sana kimoyomoyo.... Nikasema puuuu mbakaa....!!! Hawa vijana wa sasa hivi sio wa muchezo muchezo....!!!
mpuuzi huyu...dawa ni kutopeleka zawadi....yani unawapangi akabisa...watu wanaoa af wanataka mteremko wa mali
 
huyo jamaa mpumbavu sana......anaoa mke na anataka mali za mke zije......hawa ndo wajinga wanaoab=ibisha...wakati mke anamfuata jamaa wanze maisha.....vitu vya mdada acha apeleke kwao....nyambaf kabisa huyu
 
Huwa nakasirika sana nikiona mwanaume anajadili vitu vilivyo kua kabla ya kumuoa mkeo mke......
Ebu kuwa mwanamume aiseeeee
 
Inaonesha ndoa itakushinda soon mkuu...sijaona shida yeye kupeleka vitu vyake (sio vyenu) kwao.
 
Back
Top Bottom