Kapata kazi kanitupa



Tumia unguri uliotafutia kazi hili kumuachisha kazi kwa uguri huo huo
 
Duh acha roho mbaya bhana, mungu anasema samehe mara saba sabini.
 
Mwanangu ukiona hivyo ujue kuna bonge la zari linakuja kwako. Achana naye chapa kazi kwa umakini mkubwa..
 
Siku hizi hakuna mwanamke anaye aminika so ukitaka kujengs trust kwa mwanamke ambaye una malengo naye mpige mimba za fastafasta akishapoteza mvuto atakuwa wako daima.
 
Pole sana mkuu achana nae labda hakuwa chaguo lako muombe mungu utapata Mke mwema
 
Mbona kila mada inayokuja huku wanaume wote mmewapatia wanawake zenu kazi TRA, sielewi ni coincidence ya aina gani? nway poleni sana ndio maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…