Mwanzo umesema akachukue DIPLOMA na saizi unasema CERTIFICATE.si anaanza na cheti cert
🤣🤣🤣🤣Akasomee nini??
Muna connectionYeye mwenyewe mimi sijuagi hayo mambo ya bandari
Ndiyo, 3yearsKwa Division 4 ya 26....í ¾í´¨
Are you serious....í ¾í´
Hizi ndizo akili za vijana wengi walio pata access kuchangia kwenye social networks, yaani mtu bila kua na connections hawezi kufanikiwa...??Muna connection
Ukimaanisha ataanza na certificate..??Ndiyo, 3years
Mkuu Jf imevamiwa na watoto wasiojielewaHizi ndizo akili za vijana wengi walio pata access kuchangia kwenye social networks, yaani mtu bila kua na connections hawezi kufanikiwa...??
Kwakweli tumekua na kizazi cha hovyo sana ambacho hakijiamini na kinategemea kubebwa kwa kila jambo.
Mimi wanangu hua nakaanao, nawaambia waanze kujifunza kujitegemea na ndio jambo pekee litakalo wavusha kwenye chochote watakacho kifanya kwa nidhamu na watafanikiwa
kubwa hiyo mbona, wanataka D nne tu; physics, biology, chemistryKwa Division 4 ya 26....🤨
Are you serious....🤔
Kama anaufaulu wa masomo ya sayansi, akasome afya, kama sio, aende ITUkimaanisha ataanza na certificate..??
Usichukilie mitandao serious sana ila nmeuliza hivyo baada ya kuona waajiri wa hiyo fani ni TPA na TASAC na tunajua kabisa nini kinaendelea kwenye hizo taasisiHizi ndizo akili za vijana wengi walio pata access kuchangia kwenye social networks, yaani mtu bila kua na connections hawezi kufanikiwa...??
Kwakweli tumekua na kizazi cha hovyo sana ambacho hakijiamini na kinategemea kubebwa kwa kila jambo.
Mimi wanangu hua nakaanao, nawaambia waanze kujifunza kujitegemea na ndio jambo pekee litakalo wavusha kwenye chochote watakacho kifanya kwa nidhamu na watafanikiwa
ww una elimu level ghan?Mwanzo umesema akachukue DIPLOMA na saizi unasema CERTIFICATE.
Bado narudi palepale.... unapo mshauri mwanafunzi ama mzazi, jitahidi umshauri kwa umakini sana ili siku anapo fanikiwa ama akianguka akukumbuke kwa wema ama mchango wako kwake.
mkuu hapa umeangalia sehemu ndogo sana...kazi za ubaharia (seafarers) ni pana sana na International na zina soko kubwa sana..kijana akasome hiyo course na asiishie njiani asome hadi kuwa competent kabisa.Hiyo kozi ya ubaharia. Mwanao anataka kuwa baharia. Ajira zake ni mpaka usubiri mamlaka ya kudhibiti usafiri majini itangaze au shirika la meli TZ yaani TASAC watangaze. Sasa kwa mtazamo wako ajira za mambo ya meli mara ya mwisho walitangaza lini? Kwa ushauri wangu mwambie aachane nayo akasome kitu kingine kama IT maana unaweza kujiajiri hata usipoajiriwa.
..mkuu kazi za ubaharia kwa miaka mingi zimefanywa na watu ambao hawakuzisomea kwa kiwango cha kutosha..but kwa sasa vijana wanasoma vizuri na wanafanya maendeleo na kuwa na muda na family zao vizuri kabisa...kazi hizo zimegawanyika vitengo mbalimbali na unafanya kwa muda maalum na kuwa na mapumziko kama kazi za kwenye makampuni ya madini.Naona wewe ndio umejua leo kwamba kazi ya meli ina opportunities nyingi offshore.
Ngoja kidogo nikuelimishe.... hakuna kazi ya hovyo duniani kama kazi za meli kwasababu hakuna chochote unacho weza ukakifurahia zaidi ya kupata pesa na starehe.
Watubwengi walio panda melini mwisho wao umekua mbaya sana kwasababu wengi walijikuta hawaja settle makazi (home). Wengi walijikuta wakitumia miaka mingi kwenye meli na leo hawana familia. Wengi walishindwa kuishi na wake zao na badala yake maisha mengi wakayatumia melini na starehe.
Mkuu, kupata pesa pekee haitoshi kumpa mwanadam furaha. Na pesa bila kua na familia bora maanayake hiyo pesa haikusaidii.
Naona wewe umeangalia ubaharia kwa upande mmoja tu ambao ni pesa.
Binafsi niliwahi kukaa baharini kwa miezi kama 6 hivi kwa wakati ule nilikua nafanya job kwenye kampuni moja ya utafiti wa mafuta, mwisho wa siku nilipata pesa lakini niliharibu familia na kikabaki kua singo baba.
Naomba niishie hapa.
Mkuu hujui sikuizi tunaandaliwa madaktari na wafamasia wenye D za physics, chemistry na bios[emoji1]Kwa Division 4 ya 26....[emoji2955]
Are you serious....[emoji848]
Wazo zuri sana but kwa miaka miwili ya veta atakuwa bado sio qualified kuendelea na Diploma mpaka apige miaka mitatu ya veta otherwise awe na ufaulu unaohitajika kwa ngazi ya cheti cha form 4Lakini sasa ni wakati umefika pia kama mzazi/mlezi jitahidi uanze kujifunza kujua hizi mambo.
Mimi kijana wangu mwaka juzi hakufanya vizuri sana kidato cha nne, then akatamani kusomea MARINE courses. Then nilikaanae nikamwambia advantage na disadvantages zake, mwisho nikamshauri aanzie veta akasome MTM course kwa miaka miwili, then ataomba Diploma kusomea MECHANICAL engineering ambayo kwake itakua nzuri kwa kuanzia ama kujiajiri na kuajiriwa pia.
Saizi anaendelea njema na masomo anayafurahia pia amekua ananipa mipaango yake ya baadae, hii ikinionyesha kwamba kijana ameanza kuiandaa future plan yake