Kapanda Mwenyewe.......

Kapanda Mwenyewe.......

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Baada ya kipigo cha jamhuri na kudhaniwa kafa.......alipoiona TZR akaamka!

j4.JPG
 
Dah! Mkuu Safari_ni_Safari umenikumbusha siku moja niliona kitu kama hiki.

Mwizi alikuwa anakimbizwa mjini Dar maeneo ya Jamhuri, tatizo waliokuwa wanamkimbiza walikuwa hawapigi kelele za mwizi huyo!! Jamaa akakimbia na kuingia ndani ya kituo cha polisi mojakwamoja.

Polisi wakashangaa wakamuuliza vipi mbona unaingia kwa ghafla hivyo? ... yeye akawaomba wamuokoe maana kuna mtu kamuibia sasa kundi la watu wanamkimbiza kimya kimya kwa sababu wanataka kumuua wakati yeye kawaibia tu. Akawa analalamika akawaambia polisi toka lini umeona watu wanafukuza mwizi hawapigi kelele za Mwizi huyo! ... hawa wanataka kuniua!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...angebisha tu basi angelikamatwa na ule mkunjo maarufu wa "Tanganyika Jeki"
 
Watu wajifunze kufanya kazi na kujitegemea jamani. No sweat no sweet.

Mkuu Dotworld umenichekesha sana hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom