Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

Kanzu/baibui liwe vazi la taifa

20071212_hijab3.jpg


Is the Hijab a Symbol of Oppression?

Mungu anisamee kama kuna atakae kwazika.Nikikutana na mwanamke amevaa ivo barabarani hasa seemu ambayo watu wengi awapiti naingiwa uwoga wa ajabu.
 
Wanazuoni ndio akina nani hapa Tanganyika... hapa so uarabuni wala somalia watu walazimishwe kuvaa sare tena hiyo ya kanzu....fikiri wa upya
 
kwani zanzibar ni nchi si katiba ya jmt inasema sio nchi?

....mwenzako pinda alilia kwa kauli kama yako na akakubali zanzibar ni nchi,huu ndo mwisho wa muungano....
 
42c103d857880a62530d00a9f1ba3984.jpg


yaani wavae hivi aise mbona tutashindwa kuwatambua !!!
 
Mungu anisamee kama kuna atakae kwazika.Nikikutana na mwanamke amevaa ivo barabarani hasa seemu ambayo watu wengi awapiti naingiwa uwoga wa ajabu.

Most of these women if not all are demon possessed. When you see' them, please cast them demons out. Cast them out in the Name of Jesus. Satan and his fiendish cult is under our feet.
 
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Hatupo Saudi Arabia, labda ulifanye vazi la familia yako.
 
Mbpna dunia itatutenga hakuna tofauti na bokoharamu na alshababu
 
Ili mfiche hayaaa

10151826_1408974669364037_919610535_n.jpg
Hizi sura zinafanana kabisa na wale wenye kujitoa Muhanga ili kuua watu wasio wa imani yao kwa kisingizio eti wanafanya kazi ya mungu na isitoshe kwamba hiyo ni ticket ya moja kwa moja kwenda akhera.
 
Mbona hata Somalia ndio vazi la kitaifa? tuige toka Somalia si unajua TZ ni maskini zaidi kuliko Somalia
 
Back
Top Bottom