Kwa vazi hilo watu wa kanisa hawatokuelewa,labda ungesema lile vazi la padre.
Sisi wanazuoni tunapendekeza Kanzu/ Baibui liwe vazi la taifa Tanzania na itajwe wazi kwenye KATIBA MPYA. FULL STOP.

Tukishamaliza hiyo hatua itafuata kama hiyo kwenye picha.
Hapo ni Ferry upande wa kigamboni
hivi ni kweli wavaa kanzu na baibui hawavai chupi?
Mbona hili vazi la kanzu viongozi wa kitaifa wanavaa
Hata mkapa,lowasa,mwinyi kikwete hili vazi linafaa
Kwanin kikwete hakulizungumza kwenye hotuba yake?
Tofauti yetu na Waarabu itakuwa vipi?